Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi cha kushangaza hapo? Ili upate cheo nchi hii lazima ulambe miguu ya watu.Huyu waziri hafai hata kuongoza mbuzi, sijui kwa nn akawa waziri wa michezo hapa bongo
Acha kudanganya watu wewe, ulikuta lini shabiki wa Chelsea anashabikia Tottenham, Man City anashabikia Man United. Chelsea wanawatambia wenzao ni Pride of London, huo umoja wao unautoa wapi.Ni ushamba tu ila kuna muda utaondoka,Ata uko ulaya miaka fulani ilikua kama hivi ila kwasasa walisha sahau.
Aisee watu mna madongo. Akirudi kwenye uzi huu nitamuona kweli kidume.Inaonekana wewe na ndumbaro vichwa vyenu mnavitumia kama kontena za kuhifadhia mate tu.
Ulaya ya wapi wewe au unafikiri wote tunaishi Tandale kwa Tumbo?Ni ushamba tu ila kuna muda utaondoka,Ata uko ulaya miaka fulani ilikua kama hivi ila kwasasa walisha sahau.
Kwa hiyo mpata utishie watu kukamatwa na Polisi ukionekana na jezi ya timu pinzani ndo uzalendo huo? Mmekosa utetezi mnawayawaya tu. Matamahi ya kibabe kwenye uhamasishaji yanasaidia nini?Salaam,
Kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri Damas Ndumbalo kutoa maelekezo kwa mashabiki wa sokq nchini ya kuwa inabidi Watanzania woote tusimame kwa ajiri ya nchi, na upinzani wetu wa simba na yangu tuuweke pembeni kwanza, mhimu ni simba na yangu tuziunge mkono kama taifa na kwa masirahi ya nchi.
Kilichotokea ametukanwa matusi yoote, na amedharirishwa utafikili hilo amelifanya kwa masirahi yake binafsi na familia yake, au kafanya kwa masirahi ya CCM. mie ninajiuliza, ni lipi hasa kosa la Ndumbaro?
Mbona nchi nyingine huwa tuna ona jinsi walivyo wazalendo? Ninasikitika huu mpasuko na mgawanyiko wa taifa letu.
Wamezoea kusukuma Watanzania kama Ng'ombe safari hii wamekutana na rungu la CAF, na bado FIFA.Kwanza jifunze kuandika unatukera kima
wewe aaaaaagh
Pili, huu uzalendo unaouzungumzia unadhani huwa unalazimishwa? Ni matendo ya serekali ndio hujenga uzalendo wa wananchi. Kwa akili yako na hao ccm unahisi unaweza shika fimbo kuwafanya watu wawe wazalendo?
Akili ndugu yangu. Watanzania wengi hawana akili.Salaam,
Kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri Damas Ndumbalo kutoa maelekezo kwa mashabiki wa sokq nchini ya kuwa inabidi Watanzania woote tusimame kwa ajiri ya nchi, na upinzani wetu wa simba na yangu tuuweke pembeni kwanza, mhimu ni simba na yangu tuziunge mkono kama taifa na kwa masirahi ya nchi.
Kilichotokea ametukanwa matusi yoote, na amedharirishwa utafikili hilo amelifanya kwa masirahi yake binafsi na familia yake, au kafanya kwa masirahi ya CCM. mie ninajiuliza, ni lipi hasa kosa la Ndumbaro?
Mbona nchi nyingine huwa tuna ona jinsi walivyo wazalendo? Ninasikitika huu mpasuko na mgawanyiko wa taifa letu.
Sawa sawa sio tu vichaa bali wendawazimu na wajinga wajinga
Huko ulaya shabiki wa Man U anashabikia Man city ikicheza na Bayern? Au ulaya gani unaongelea wewe? Huko ndo timu mwenyeji inampangia mgeni tiketi 5000 Kati ya 68000 au na Hilo hujui?Ni ushamba tu ila kuna muda utaondoka,Ata uko ulaya miaka fulani ilikua kama hivi ila kwasasa walisha sahau.
Ni kweli kabisa na ukitaka kujua watanzania mijinga jinga soma nyuzi za humu na michango yake ndio utajuaAkili ndugu yangu. Watanzania wengi hawana akili.
Wewe mwenyewe si chawa ndio maana hujaona makosa yakeSalaam,
Kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri Damas Ndumbalo kutoa maelekezo kwa mashabiki wa sokq nchini ya kuwa inabidi Watanzania woote tusimame kwa ajiri ya nchi, na upinzani wetu wa simba na yangu tuuweke pembeni kwanza, mhimu ni simba na yangu tuziunge mkono kama taifa na kwa masirahi ya nchi.
Kilichotokea ametukanwa matusi yoote, na amedharirishwa utafikili hilo amelifanya kwa masirahi yake binafsi na familia yake, au kafanya kwa masirahi ya CCM. mie ninajiuliza, ni lipi hasa kosa la Ndumbaro?
Mbona nchi nyingine huwa tuna ona jinsi walivyo wazalendo? Ninasikitika huu mpasuko na mgawanyiko wa taifa letu.
Sema wewe ni mshabiki wa timu gani?Salaam,

Hayati RAIS Mwinyi alihudhuria mechi ya Simba na Stella Abijan , kabla ya hapo alisisitiza sana uzaelendo lakini wakati Stella wanapata goli la pili mashabiki wa YANGA walianza kuimba na kuzunguka uwanja mzima wakisema Uzalendo umewashinda.Salaam,
Kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri Damas Ndumbalo kutoa maelekezo kwa mashabiki wa sokq nchini ya kuwa inabidi Watanzania woote tusimame kwa ajiri ya nchi, na upinzani wetu wa simba na yangu tuuweke pembeni kwanza, mhimu ni simba na yangu tuziunge mkono kama taifa na kwa masirahi ya nchi.
Kilichotokea ametukanwa matusi yoote, na amedharirishwa utafikili hilo amelifanya kwa masirahi yake binafsi na familia yake, au kafanya kwa masirahi ya CCM. mie ninajiuliza, ni lipi hasa kosa la Ndumbaro?
Mbona nchi nyingine huwa tuna ona jinsi walivyo wazalendo? Ninasikitika huu mpasuko na mgawanyiko wa taifa letu.
Hao wapuuzi si wa kuwasikiliza muda wote walikuwa wapi kuhimiza uzalendo.Hayati RAIS Mwinyi alihudhuria mechi ya Simba na Stella Abijan , kabla ya hapo alisisitiza sana uzaelendo lakini wakati Stella wanapata goli la pili mashabiki wa YANGA walianza kuimba na kuzunguka uwanja mzima wakisema Uzalendo umewashinda.
Yanga ama mashabiki wa Yanga wamekuwa vinara sana wa kukodisha Coasta na kwenda kupokea timu pinzani zinapocheza na Simba.
Hersi siku ya mechi ya Simba na KAIZER chief alivaa jezi ya Kaizer Chief.
Juzi Jwaneng walipokuja kucheza walifikia Avic Town mahali ambapo ni kambi ya Yanga.
Waziri anataka Uzalendo gani? Wewe mleta mada una timu unaishaibikia ambayo ni ya Uiengereza au Hispania lini waziri amekuzuia? Wenzetu Ulaya kila shabiki wa mpira ni shabiki wa timu inayotokea eneo analoishi, je wewe unashabikia timu ya mkoani kwenu?
Uzalendo ni timu ya Taifa si Yanga au Simba, kama mnataka uzalendo anzani sasa kuweka mikakati kila shabiki aingie uwanjani siku timu yake inacheza tu. Lakini utakuta kila Simba ikicheza mashabiki wa YANGA wamejaa uwanjani, kufanya nini? Kila mtu ashinde mechi zake.