Uchaguzi 2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

Nimemsikiliza Tundu Lisu Sera zake za uchumi nimezikubali Sana..

CCM wanavyo haha Sasa msg zenye neno Tundu Lisu zimekuws blocked mitandao yote..

Uhuru wakujieleza wamezuia Sasa wamezuia hata uhuru wa kutuma msg🤔😊
 
Jamii forum wanatakiwa kukufungia kwa kutumia lugha za matusi.
Jamii forum jamani mbona huyu mtu anatukana matusi kwanini asifungiwe.
Wauwaji hats kukemewa hawakemewi,na wakiukaji wa haki nyingine,ilimradi iwe anaedhulumiwa ana mawazo tofauti na wenye mamlaka,je si bora anaetumia hiyo kama silaha ya mnyonge.
 
Ndoto za mchana ni kudhani mwaka 2020 ni sawa na miaka ya nyuma ambapo CCM iliwaburuza wananchi
Naomba kwania njema tu,kabla ya mwisho wa kampeni,wawaombe radhi Watanzania na pia wachukue guess hiyo kuwaaga pia.
 
Nchi imelipuka mbona hatuoni moshi?
 
Bavicha bhana..
Watu tupo site nyie mko mtandaoni...mtashinda urais wa mitandaoni ila mitaani nawahakikishieni jipangeni kwa aibu..
Wewe hapa ulipo ni site? Acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
 
Nchi ilikuwa sawa na Mali binafsi ya familia na kakikundi la wanufaika wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…