atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Mitandao ya simu wameblock jina la Lissu
Ukiandika Lissu meseji haiendi
Dah wameingilia mpaka uhuru wetu,Kwahiyo wenye wenye majina ya Lissu hawawasiliani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitandao ya simu wameblock jina la Lissu
Ukiandika Lissu meseji haiendi
Hata Mimi natamka Lisu lakini kura yangu kwa JPM. Sisi wanaccm milioni 17 tumeamua kwenda kukipa ushindi chama chetu. JPM mi 5 tena kazi iendelee.Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...
Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....
Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
Punguza uongo na wewe, hizo kona za nchi hii ziko wapi? au ulitaka kuandika "kona bar"Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...
Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....
Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
Kadiri siku zinavyozidi kuyoyoma mambo yanazidi kunogaZikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...
Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....
Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
Umeona vema.Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...
Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....
Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
Hebu weka picha mkuu tukaone kanavyohema! Nakaombea kasije kakarudisha jezi siku ya mwisho ya kampeni kakatuharibia uchaguziMafeni alipiga saaa push up kumdhihaki mtu Leo bila rejeta na intercooler engine haitembei,funzo usimcheke mwenzio sababu ya afya ya bure uliyopewa
Pole sana! Ugonjwa huu ulikuanza lini? Ulizaliwa nao au ni wa kurithi? Unatoka nchi gani wewe? Ni mamluki sa wapi?AKIPATA ATA DIWANI MUMOJA BASI ATAKUA AMESHINDA. MIMI NAONA ANAHARIBU MAFUTA YA CHOPA BURE TUUU.
Tupige kura kwa wingi washindwe kuiba maana watabadili katiba Hawa watutese milele hata uchekae sasa utalia mbeleni, shetani Hana rafiki zaidi ya tumbo lakeKadiri siku zinavyozidi kuyoyoma mambo yanazidi kunoga
Yes kuanzia leo naanz akukumbushia ndugu zangu wooote huko vijijini hadi mabibi na mababuTupige kura kwa wingi washindwe kuiba maana watabadili katiba Hawa watutese milele hata uchekae sasa utalia mbeleni, shetani Hana rafiki zaidi ya tumbo lake
Ningeshangaa sana kama asingetokea hata kilaza mmoja wa lumumba na kusema neno,magufuli anafurahi sana kuwaongoza hayawani kama weweAKIPATA ATA DIWANI MUMOJA BASI ATAKUA AMESHINDA. MIMI NAONA ANAHARIBU MAFUTA YA CHOPA BURE TUUU.
Wanamshangaa mropokaji!Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...
Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....
Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
Jomba unashangaa eeeh..endelea kushangaa Kama wananchi wanavyoendelea kumshangaa mitaani na jinsi watakavyokwenda kutumia kichinjio Chao bila huruma..Ni lazima wamuangalie mtu wanaokwenda kumchinjoa baharini kule..subiri uone watanzania baada ya 28Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...
Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....
Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
Jomba unaota mchana kweupeee...Kama mlivyokuwa mkiota wakati wa mzee wa Safari ya matumaini..Mafeni alipiga saaa push up kumdhihaki mtu Leo bila rejeta na intercooler engine haitembei,funzo usimcheke mwenzio sababu ya afya ya bure uliyopewa
Hata akiwa beberu wananchi asilimia 90 tayari wapo nyuma yake..sijui mnaelewa..nendeni kwanza mkawasuluhushe wabia wenu ACT kule kunawaka Moto..manake kazi hiyo ndio inawafaa lakini sio kazi ya kuongoza nchi ya wazalendo hawa...tafuteni nchi ya kuongoza. Watanzania hamuwawezi kwa Sasa..jaribuni Tena mwaka 2025 au 2020Hali ni ngumu mno Nchi inaenda kupata uhuru upya tarehe 28 tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusi
Jana sio leo,ujaona huo mziki.Jomba unaota mchana kweupeee...Kama mlivyokuwa mkiota wakati wa mzee wa Safari ya matumaini..
MATUSI NDO ILANI YA CHAMA CHENU KUPITIA YULE MGOMBEA WENU AMBAYE AMESHA ADHIBIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU. TUKANENI TUU. OCTOBER,28 IMEFIKA ILIMUVUNE MATUSI YENU.Ningeshangaa sana kama asingetokea hata kilaza mmoja wa lumumba na kusema neno,magufuli anafurahi sana kuwaongoza hayawani kama wewe