Uchaguzi 2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

Hata Mimi natamka Lisu lakini kura yangu kwa JPM. Sisi wanaccm milioni 17 tumeamua kwenda kukipa ushindi chama chetu. JPM mi 5 tena kazi iendelee.
 
Punguza uongo na wewe, hizo kona za nchi hii ziko wapi? au ulitaka kuandika "kona bar"
 
Kadiri siku zinavyozidi kuyoyoma mambo yanazidi kunoga
 
Umeona vema.
 
Mafeni alipiga saaa push up kumdhihaki mtu Leo bila rejeta na intercooler engine haitembei,funzo usimcheke mwenzio sababu ya afya ya bure uliyopewa
Hebu weka picha mkuu tukaone kanavyohema! Nakaombea kasije kakarudisha jezi siku ya mwisho ya kampeni kakatuharibia uchaguzi
 
Kadiri siku zinavyozidi kuyoyoma mambo yanazidi kunoga
Tupige kura kwa wingi washindwe kuiba maana watabadili katiba Hawa watutese milele hata uchekae sasa utalia mbeleni, shetani Hana rafiki zaidi ya tumbo lake
 
Tupige kura kwa wingi washindwe kuiba maana watabadili katiba Hawa watutese milele hata uchekae sasa utalia mbeleni, shetani Hana rafiki zaidi ya tumbo lake
Yes kuanzia leo naanz akukumbushia ndugu zangu wooote huko vijijini hadi mabibi na mababu
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Wanamshangaa mropokaji!
On my way to TZ to vote for my president JPM
 
Jomba unashangaa eeeh..endelea kushangaa Kama wananchi wanavyoendelea kumshangaa mitaani na jinsi watakavyokwenda kutumia kichinjio Chao bila huruma..Ni lazima wamuangalie mtu wanaokwenda kumchinjoa baharini kule..subiri uone watanzania baada ya 28
 
Nguvu mnayotumia kumnadi Lisu kama mngekuwa mnawanadi wagombea ubunge wenu mngekuwa mmefanya la maana sana

Mmeshachelewa na uchaguzi huu itakula kwenu wabunge watakaorudi ni robo ya wabunge mliopata 2015
 
Mafeni alipiga saaa push up kumdhihaki mtu Leo bila rejeta na intercooler engine haitembei,funzo usimcheke mwenzio sababu ya afya ya bure uliyopewa
Jomba unaota mchana kweupeee...Kama mlivyokuwa mkiota wakati wa mzee wa Safari ya matumaini..
 
Ipo kwenye bus lakini uliweza kushuhudia mawakala walikuwa kwenye bus terminals au?

October 28th inyeshe mvua liwake jua tutamchagua JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hali ni ngumu mno Nchi inaenda kupata uhuru upya tarehe 28 tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusi
Hata akiwa beberu wananchi asilimia 90 tayari wapo nyuma yake..sijui mnaelewa..nendeni kwanza mkawasuluhushe wabia wenu ACT kule kunawaka Moto..manake kazi hiyo ndio inawafaa lakini sio kazi ya kuongoza nchi ya wazalendo hawa...tafuteni nchi ya kuongoza. Watanzania hamuwawezi kwa Sasa..jaribuni Tena mwaka 2025 au 2020
 
Ningeshangaa sana kama asingetokea hata kilaza mmoja wa lumumba na kusema neno,magufuli anafurahi sana kuwaongoza hayawani kama wewe
MATUSI NDO ILANI YA CHAMA CHENU KUPITIA YULE MGOMBEA WENU AMBAYE AMESHA ADHIBIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU. TUKANENI TUU. OCTOBER,28 IMEFIKA ILIMUVUNE MATUSI YENU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…