Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.
Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.
Dunia nzima inatushangaa, kwa ujinga unaofanyika....
Hata US wanajua waliokuwa wakiokoa watu ni Wavuvi. Aibu naona mimi!!!!