HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Usije wategemea maana nao wanapenda ishiIle video kwa Millard Ayo wale wanajeshi wawili wanapiga story tu badala wazame kwenye uokozi [emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usije wategemea maana nao wanapenda ishiIle video kwa Millard Ayo wale wanajeshi wawili wanapiga story tu badala wazame kwenye uokozi [emoji119]
Msikilize mhanga wa ajali hiyo hapa chini. Ndege ilikita chini mbele hivyo maji yaliingia haraka sana kupitia mbele hivyo abiria waliokuwa nyuma ya ndege ndio waliweza kuokolewa kirahisi.Waweza kuwa sahihi sababu elimu tuliyonayo inatusaidia kukariri sio uhalisia wa mazingira.
Ebu tuone na mazingira ya kwenye tukio
-Vioo vya madirisha na milango yote imefunikwa kwa maji, umebaki mkia tu
-ikumbukwe wakati wa kupaa na kutua ni sharti kufunga mikanda. Kwaio wahanga wote, kwa kanuni hii walikwa wamebanwa sawasawa kwenye viti vyao+paniki+elimu zetu zinazotolewa na wasaidizi wa ndege (pengine hawakuwa wamelitoa hili somo)+uzoefu wetu katika kupambana na haya majanga.
Kwaio mkuu, baadhi ya kanuni ni inapplicable. kutegemeana na hali.
Nimejisikia aibu sana...Kweli karne hii Mungu wangu, hakuna hata emergence boat kwenye uwanja ambao miaka kafhaa uwanja wa ndege upo karibu na ziwa? Nani ametuloga ndugu zangu?Nimejiskia fedhea sana kuona Ndegge inavutwa na Kamba kama njia ya uokozi. Mbwe mbwe zooooote za ROYAL TOUR leo BBC watarusha ule upuuuzi wa kuvuta ndege na kamba na watasiliba juhudi zote za kutangaza Utalii wetu maaana Dunia itatuona hatuko serious.
Daaaaah lile tukio limetia doa na aibu kubwa sana sekta ya Usafirishaji wa Anga na Uokozi wa Nchi yetu.
Usitetee uzembe, walipotoka hakukua na kitu chochote cha kuwaokoa, so imagine uwanjani kule hawakuwa na tarifa? Distance ni kubwa kiasi gani kati ya hapo na ilipotua ndege majini? Disaster management yao ikoje?Msikilize mhanga wa ajali hiyo hapa chini. Nsehe ilikita chini mbele hivyo maji yaliingia haraka sana kupitia mbele hivyo abiria waliokuwa nyuma ya ndege ndio waliweza kuokolewa kirahisi.
View attachment 2408655
Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.
Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.
Dunia nzima inatushangaa, kwa ujinga unaofanyika....
View attachment 2408521
View attachment 2408641
Mungu Wabariki wavuvi wa Ziwa Victoria , pamoja na kuporwa mitumbwi yao na Kuchomewa moto nyavu zao , LAKINI HAWAKUKATA TAMAA , LEO WAMEKUWA MSAADA KWA NCHI YAOWatu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.
Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.
Dunia nzima inatushangaa, kwa ujinga unaofanyika....
View attachment 2408521
View attachment 2408641
Ya mama SamiaHii ndiyo TANZANIA
Mkuu, sio kila mwanajeshi ni mwokoaji, tusiwe wenye kukashifu tu, tunaoneka wajinga. Hivi unajua kuna jeshi la nchi kavu, anga na majini?Ile video kwa Millard Ayo wale wanajeshi wawili wanapiga story tu badala wazame kwenye uokozi 🙌
Sio Kila mwanajeshi nimwokozi wengine ni vifalu na mabomu,akiingia hapo anakunywa vikombe vyake vyakutoshaIle video kwa Millard Ayo wale wanajeshi wawili wanapiga story tu badala wazame kwenye uokozi [emoji119]
Mikanda ya ndege haikitengenezwa ili ibane watu labda na air hostage alipanikkwa kanuni hii walikwa wamebanwa sawasawa
Ndio Tanzania dunia nzima inatushangaa Yani tumegeuka vitukoHahah dah, eti ndege inavutwa na kamba kama kokoro[emoji23][emoji23]
Hata kusaidiana na wananchi kuvuta kamba wameshindwa?Sio Kila mwanajeshi nimwokozi wengine ni vifalu na mabomu,akiingia hapo anakunywa vikombe vyake vyakutosha
Rubani ndie imemshinda kuiongoza sasa unamlaumu nani?Mwisho awataki kusema nchi kuongoza imewashinda watasimsingizia hayati hii ajali ya ndege.