Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.

Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.

Dunia nzima inatushangaa, kwa ujinga unaofanyika....

View attachment 2408521

View attachment 2408641
Hahaha wangesikia Mnyika kafanya mkutano ndio ungeona kama vikosi vipo au la!
 
Nimejiskia fedhea sana kuona Ndegge inavutwa na Kamba kama njia ya uokozi. Mbwe mbwe zooooote za ROYAL TOUR leo BBC watarusha ule upuuuzi wa kuvuta ndege na kamba na watasiliba juhudi zote za kutangaza Utalii wetu maaana Dunia itatuona hatuko serious.
Daaaaah lile tukio limetia doa na aibu kubwa sana sekta ya Usafirishaji wa Anga na Uokozi wa Nchi yetu.
Which Means ziwa lote la victoria halina technical measn za rescue.
This is Afrika in Tanzania
 
Tunafungua mipaka iliokuwa imefungwa, Mungu atukumbuke watanzania.
 
Nimejiskia fedhea sana kuona Ndegge inavutwa na Kamba kama njia ya uokozi. Mbwe mbwe zooooote za ROYAL TOUR leo BBC watarusha ule upuuuzi wa kuvuta ndege na kamba na watasiliba juhudi zote za kutangaza Utalii wetu maaana Dunia itatuona hatuko serious.
Daaaaah lile tukio limetia doa na aibu kubwa sana sekta ya Usafirishaji wa Anga na Uokozi wa Nchi yetu.
Na hilo tukio linavyofanyika ni utalii tosha [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nimejisikia aibu sana...Kweli karne hii Mungu wangu, hakuna hata emergence boat kwenye uwanja ambao miaka kafhaa uwanja wa ndege upo karibu na ziwa? Nani ametuloga ndugu zangu?
Ccm plus kuwa na viongozi vilaza
 
Mh embu tupe ilipazwa kufutwa na nin na minyororo ama nn manke umeongea as if Kwamba Kuna njia uanzo jinsi ya kunazua hyo ndge Chini ambayo haitatumika tena ktk
Mbona unaandika kama unasinzia vipi?
 
Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.

Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.

Dunia nzima inatushangaa, kwa ujinga unaofanyika....

View attachment 2408521

View attachment 2408641
Sisi tunaposema CCM imechoka ipumuzishwe nyie mnaleta mizaha mingi mnatuona sisi wapingaji kumbe hua tunamanisha tujifunze kutokana na makosa.ccm ishajichokea jamani.
 
Back
Top Bottom