Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

kwani zile hela royotua imeleta hatukununua hata ndege na vifaa vya uokozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inchi ina ufakeni mwingi sana
 
Wamechukua zile za kufungia mbuzi hata hivo wavuvi wamejitahidi sana basi tu, airport iko karibu na ziwa hakuna rescue team, hakuna boat za fiber ambazo zinaweza kufika kwenye tukio haraka tukisema wanaanza kulialia oohh heshimuni viongozi wakati unaona kabisa viongozi hawana vision ni aibu tupu
Boti za fiber kazi yake ni kufukuzana na wavuvi ziwani kama wapo kwenye mashindano
 
Mh embu tupe ilipazwa kufutwa na nin na minyororo ama nn manke umeongea as if Kwamba Kuna njia uanzo jinsi ya kunazua hyo ndge Chini ambayo haitatumika tena ktk
Issue ni waliovuta na kamba wamesomea hiyo kazi!? Wenye vyeti vyao na ajira wamekuwa watazamaji
 
Back
Top Bottom