Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
FAILED STATE [emoji706][emoji706][emoji706]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Raia tena na mali zao?Wapo kuwalinda wanasiasa dhidi ya uvamizi wa kijeshi unaoweza tokea baharini.
FAILED CCMFAILED STATE [emoji706][emoji706][emoji706]
Kuhusu elimu ya kujiokoa hii pasi na shaka ilitolewa kwani moja ya kanuni kabla ya kupaa lazima mpewe maelek3zo ya kujiokoa kwa dharura yoyote hadi majiniWaweza kuwa sahihi sababu elimu tuliyonayo inatusaidia kukariri sio uhalisia wa mazingira.
Ebu tuone na mazingira ya kwenye tukio
-Vioo vya madirisha na milango yote imefunikwa kwa maji, umebaki mkia tu
-ikumbukwe wakati wa kupaa na kutua ni sharti kufunga mikanda. Kwaio wahanga wote, kwa kanuni hii walikwa wamebanwa sawasawa kwenye viti vyao+paniki+elimu zetu zinazotolewa na wasaidizi wa ndege (pengine hawakuwa wamelitoa hili somo)+uzoefu wetu katika kupambana na haya majanga.
Kwaio mkuu, baadhi ya kanuni ni inapplicable. kutegemeana na hali.
Kwa hiyo wananchi ni bora kuliko mwanajeshi?Mkuu, sio kila mwanajeshi ni mwokoaji, tusiwe wenye kukashifu tu, tunaoneka wajinga. Hivi unajua kuna jeshi la nchi kavu, anga na majini?
Duh !...Hapo watu wangevaa nguo za chadema na kwenda ziwani ungeshangaa mpaka aigipii angefika hapo ndani ya dk 10
Bado mkuu maana tuna Tume Mtu siyo Tume Huru
Nilitamani hao wananchi waliokua wanahangaika kuokoa hao abiria wangewatimua Kwa majabali hao wanasiasa na vyombo vyote vya serikali vilivyokuja kupiga selfie pale kwenye tukio ili dunia ijue kwamba wananchi wamechoka na huu ubabaishaji kwenye hili taifaPerdiem 250000/=
Wanagawana mafungu ya dharura.Wanakula perdiem ya vikao tu
Binadamu bana! Nyie mnashangaa ya ndege ambayo ni bora imevutwa na Mitumbwi ya wavuvi. Rejea ajali ya kivuko cha ukara ambako wanajeshi walisitisha shughuli za uokozi mpaka kesho yake eti kisa giza limeingiaWatu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.
Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.
Dunia nzima inatushangaa, kwa ujinga unaofanyika....
View attachment 2408521
View attachment 2408641
Hata US wanajua waliokuwa wakiokoa watu ni Wavuvi. Aibu naona mimi!!!!
View attachment 2408740
Kuna kamjamaa kamoja kalikuwa kanapiga siasa kwa kusema watatumia vifaa vya tekinolojia ya hali ya juu kuokoa!Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.
Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.
Dunia nzima inatushangaa, kwa ujinga unaofanyika....
View attachment 2408521
View attachment 2408641
Hata US wanajua waliokuwa wakiokoa watu ni Wavuvi. Aibu naona mimi!!!!
View attachment 2408740
Mamako anaupiga mwingiKila ukipanda Ndege unaelezwa ikitokea Dharura kwenye maji ufanye nini.
Chini ya siti kuna lifejacket unalivaa ukilivaa unaelea hata kama hujui kuogelea.
Hao ziimamoto na uokozi leo jumapili wanakunywa bia zao, kwanini kuwabuguzi?
Yule ndoo angewaacha wafe wote make wahaya alikuwa hawapendi kabisaa ,refer kwenye majanga ya tetemeko la ardhi alivyokula misaada yao na kuwatukana "mwafaaaaaa"Yap!
Mwenda zake asingefanya huu upuuzi
Sio rahisi kama unavyofikiri lzm uwe vzr kisailojia na kimwili baada ya ajali ndio uweze kukumbuka hiyo life jacket, pia kwa ndege iliyotumbukia kwenye Maji life jacket itakusaidia ukiwa nje ya ndege ila kwa ndani itakufanya uelee juu ya ceiling ya ndege na ushindwe kuogelea kushuka chini kuipata milango ya kutokea during struggle unaishiwa nguvu wakati huo ndege inaendelea kujaa maji! Ripoti ya ajali ya ndege ya Ethiopia iliyokuwa imetekwa na vijana wa kiethiopia na kulazimisha iwapeleke Australia miaka ya 80's na kuangukia baharini kando ya visiwa vya Madagascar ilionyesha Kuna abiria walikufa wakiwa na life jacket kwa kuwa pulled up baada ya ndege kuzama majini na kushindwa kujiokoa.Kila ukipanda Ndege unaelezwa ikitokea Dharura kwenye maji ufanye nini.
Chini ya siti kuna lifevest unalivaa ukilivaa unaelea hata kama hujui kuogelea.
Hao ziimamoto na uokozi leo jumapili wanakunywa bia zao, kwanini kuwabuguzi?
Gwaride wakati wa Siku ya Uhuru na Muungano.Sijawahi elewa kazi ya wanajeshi wale wa majini