Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

Mkuu, sio kila mwanajeshi ni mwokoaji, tusiwe wenye kukashifu tu, tunaoneka wajinga. Hivi unajua kuna jeshi la nchi kavu, anga na majini?
Kwani hao waliokua wanajaribu kuwaokoa si wanafanya out of ubinadamu au, atleast wangesaidia sio wajisimamishe
 
Mengine ni aibu,
sasa hizo kamba mmetoa wapi?

Wamechukua zile za kufungia mbuzi hata hivo wavuvi wamejitahidi sana basi tu, airport iko karibu na ziwa hakuna rescue team, hakuna boat za fiber ambazo zinaweza kufika kwenye tukio haraka tukisema wanaanza kulialia oohh heshimuni viongozi wakati unaona kabisa viongozi hawana vision ni aibu tupu
 
Usitetee uzembe, walipotoka hakukua na kitu chochote cha kuwaokoa, so imagine uwanjani kule hawakuwa na tarifa? Distance ni kubwa kiasi gani kati ya hapo na ilipotua ndege majini? Disaster management yao ikoje?
Hujui kitu ila unajifanya tu unajua kila kitu.
 
Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.

Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.

Dunia nzima inatushangaa, kwa ujinga unaofanyika....


View attachment 2408521

View attachment 2408641
Mungu anawaonesha Watanzania namna viongozi na watu wa mipango wasivyowathamini.

Naona kuna shida kwenye kitengo cha dharura ofisi ya Waziri Mkuu
 
IMG_0790.jpg
 
Mkuu, sio kila mwanajeshi ni mwokoaji, tusiwe wenye kukashifu tu, tunaoneka wajinga. Hivi unajua kuna jeshi la nchi kavu, anga na majini?
Si wangevuta kamba ile si wananguvu kwasababu kamba ilishafika nchi kavu wao ndo walitakiwa kuwa mfano mzuri sio wao kusimama na kina mama ufukweni pumbavu zao picha mbaya kabisa wameonyesha
 
Back
Top Bottom