Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Polisi na wanajeshi wamefika eneo la tukio wameweka mikono mfukoni wanapiga story.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza kichwa mkuu, wanajeshi wakiwa wachache mfano hao wawili wana-task organize. Sio lazima wote washike kamba, bali wengine hupanga utaratibu mzuri wa uokoaji. Kila mmoja hushiriki kwa nafasi yake, tusiwe na tabia ya kulalamika na kulaumu kila tukio tunaloliona kwenye picha kwa kulipa tafsiri zetu. Hili nalo ni tatizo la afya ya akili.Kwa hiyo wananchi ni bora kuliko mwanajeshi?
Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.
Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.
Dunia nzima inatushangaa, kwa ujinga unaofanyika....
View attachment 2408521
View attachment 2408641
Hata US wanajua waliokuwa wakiokoa watu ni Wavuvi. Aibu naona mimi!!!!
View attachment 2408740
Tulia weweeeMi simo humo kwenye 'shenzi' zenu tafadhali.
Muda mwingine ni heri ukakaa kimya utaonekana wa maana zaidi.Tu
Tuliza kichwa mkuu, wanajeshi wakiwa wachache mfano hao wawili wana-task irganize. Sio lazima wote washike kamba, bali wengine hupanga utaratibu mzuri wa uokoaji. Kila mmoja hushiriki kwa nafasi yake, tusiwe na tabia ya kulalamika na kulaumu kila tukio tunaloona kwenye picha kwa kulipa tafsiri zetu. Hili nalo ni tatizo la afya ya akili.
Ajabu kweli,watu wanakufa kwenye maji wewe umeshikiwa MwavuliWATU WAKO KWENYE SHIDA BADO WANAENDEKEZA UTUKUFU WA KUSHIKIWA MIAVULI
Acha makasiriko,umeridhishwa na kazi ya uokoaji?Mh embu tupe ilipazwa kufutwa na nin na minyororo ama nn manke umeongea as if Kwamba Kuna njia uanzo jinsi ya kunazua hyo ndge Chini ambayo haitatumika tena ktk
HahaaaaUkisoma taarifa ya serikali ya ajari hii,hawakuwataja wavuvi kama wamehusika kwenye uokoaji,wanasema ni watu wao wa usalama
Walipofungua mlango wa dharula maji yalianza kuingia naona ndo yaliwazuia wengine kutokaWalio okolewa wali pitia wapi.walio baki walishindwa kuwapitishia hapo au wali ambiwa bakini umo umo tuwavute [emoji28][emoji28]
Kanaitwa chalanyodoKuna kamjamaa kamoja kalikuwa kanapiga siasa kwa kusema watatumia vifaa vya tekinolojia ya hali ya juu kuokoa!
Mhmm!Kanaitwa chalanyodo