Yaani hii ni laana. Taifa limekuwa likitumia rasilimali zetu kwa mambo ya siasa. Wananchi wa Kagera wana stahili pongezi za dhati. Wamejitoa kwa mengi kuhusu hii ajali.Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.
Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.
View attachment 2408521
Nchi inayojiendea tu yenyewe kama basi lisilo na dereva!Hii ndiyo TANZANIA
Wengi wanakomaa wapate Yale mavazi,wanachi wajinga wawaogope,ila katika uchapaji,unakuta zeroIle video kwa Millard Ayo wale wanajeshi wawili wanapiga story tu badala wazame kwenye uokozi 🙌
Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.
Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.
View attachment 2408521
Navy hao.. hivi wako country wide? Au ni Dar tuSijawahi elewa kazi ya wanajeshi wale wa majini
Hata sijui.Navy hao.. hivi wako country wide? Au ni Dar tu
Mh embu tupe ilipazwa kufutwa na nin na minyororo ama nn manke umeongea as if Kwamba Kuna njia uanzo jinsi ya kunazua hyo ndge Chini ambayo haitatumika tena ktkNimejiskia fedhea sana kuona Ndegge inavutwa na Kamba kama njia ya uokozi. Mbwe mbwe zooooote za ROYAL TOUR leo BBC watarusha ule upuuuzi wa kuvuta ndege na kamba na watasiliba juhudi zote za kutangaza Utalii wetu maaana Dunia itatuona hatuko serious.
Daaaaah lile tukio limetia doa na aibu kubwa sana sekta ya Usafirishaji wa Anga na Uokozi wa Nchi yetu.