Nchi imepita nyakati mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa Duniani. Tazama ujinga huu

Nchi imepita nyakati mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa Duniani. Tazama ujinga huu

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Sitasahau kama ilivyo kwa kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hii.

Kulifanyika mambo ya ajabu sana yaliyotudhalilisha Watanzania na yaliyolidhalilisha taifa.

Kamwe tusirudie tena.

20221214_000918.jpg


Pichani: Maafisa vipenyo wakiwa kwenye moja ya migahawa ya Bunge wakipima ukubwa wa samaki aliyepikwa.
 
Eti wanapima samaki aliye pikwa ktk mihahawa ya bunge ili kujua Kama walivuliwa wakiwa ktk ukubwa unaostahili. Enzi zile za operesheni ya kuchoma nyavu iliyokuwa ikiendeshwa na waziri kichaa (Mpina)
Duuuh!
 
Back
Top Bottom