Eti wanapima samaki aliye pikwa ktk moja ya migahawa ya bunge ili kujua Kama walivuliwa wakiwa ktk ukubwa unaostahili. Enzi zile za operesheni ya kuchoma nyavu iliyokuwa ikiendeshwa na waziri kichaa (Mpina)Hapo walikuwa wanapima ili kufanyaje?
Nchi ilikuwa mikononi mwa washambaNa wako serious kabisa
Duuuh!Eti wanapima samaki aliye pikwa ktk mihahawa ya bunge ili kujua Kama walivuliwa wakiwa ktk ukubwa unaostahili. Enzi zile za operesheni ya kuchoma nyavu iliyokuwa ikiendeshwa na waziri kichaa (Mpina)
Sana!Inasikitisha
Huenda wawashonee sanda.Hapo walikuwa wanapima ili kufanyaje?
Noma sana.Huenda wawashonee sanda.
Wa nyuma ana notebook kabisa kunakili vipimoHao wapumbavu wanevaa suti wanatoka nje ya ofisi , wanalipwa posho kwenda kupima urefu wa samaki
Yaani kundi lote hilo limeshupalia kusoma urefu wa samaki aliyepikwa!!!?.Dah ila nchi hii imejaa mambo ya kipuuzi aisee.
Na Vieitte inawasubiri nje haijazimwa.Yaani kundi lote hilo limeshupalia kusoma urefu wa samaki aliyepikwa!!!?.