Nchi imepita nyakati mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa Duniani. Tazama ujinga huu

Bora hawa, walikuwa na Nia ya kulinda rasilalimali. Sasa hivi kuna kundi la panya halina hata huruma
 

Ila Jiwe aliwajaza watu ujinga Sana. Kila mtu alikua anafanya kazi ili kumfurahisha [emoji3][emoji3]
 
Kutoka kula kuku kwa mrija hadi kula samaki kwa rula
 
Hizo Sheria wanazotunga wabunge kuhusu urefu wa samaki ndo zimepelekea hao watu waende hapo kupima samaki kwa rula.

Ingekuwa nje ya Sheria wangeshtakiwa kwa kitendo hicho.

Wabunge waache kula matapishi yao wenyewe
 
Ingekuwa nje ya Sheria wangeshtakiwa kwa kitendo hicho.
Mkuu wakati wa utawala wa jiwe Kuna Mambo Mengi yalifanywa kinyume kabisa na matakwa ya sheria.

Mifano:-
1. Sheria ipi inaruhusu wenye maduka ya kubadilishia fedha za kigeni waporwe fedha zao?
2. Sheria ipi inaruhusu wanaoikosoa serikali ama mhe rais wauawe, watekwe, ama wapigwe risasi?
3. Sheria ipi inaruhusu mtumishi wa umma akikisea atumbuliwe kwenye mikutano ya hadhara bila kufuata taratibu za kiutumishi?
 
Aibu nyingine hii hapa



Na hii hapa



Hapo kuna Waziri wa Afya na Naibu wake pamoja na Maofisa wa juu wa Wizara ya Afya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nchi ilikuwa mikononi mwa washamba
Kwa hiyo kuzuia watu wasivue samaki wachanga ni ushamba? Mbona hili zoezi lilikuwapo wakati wa JK. Nyavu zilikuwa zinachomwa maeneo mengi tu kuzuia uvuvi haramu. Ni vyema zaidi watunga sheria wakaona na kuelewa ukubwa wa samaki wanaokatazwa kuvuluwa. Hili lilikuwa zoezi nzuri sana na sioUSHAMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…