Nchi imeshaenda Kombo: Ninachoamini Nchimbi ni Smart Guy hamtoweza kumsikia akiingia kwenye mjadala wowote

Ngoja nikuulize: Hivi hao police ni akina nani hasa? Mimi namjua mmoja; Camillius Wambura; pengine na wengine wasiozidi watano.

Wewe kwa kutojuwa kwako unakuja kushutumu hawa wasiojuwa wala kuhusika na lolote.

Hizi missplaced frustrations ndizo zinazoongeza maumivu kwa kila mmoja wetu; hata hao polisi wanaopewa amri tu wazitimize.
hayo mauchafu yoote wanayojulikana kuyafanya, wakulaaumiwa ni hao wachache wanaoendesha jeshi hilo.
Kibaya zaidi nao wanaogopa kupoteza ugali wao, Na ndicho kinachowaponza wote, sifa wanazopewa kwenye media ndio zinazopelekea maovu na kuonewa kwa wananchi.
 
Tulipofika ni total destruction of our country , and Samia does not know what else to do- hamna anachokifanya na kwasasa nchi ipo chini ya polisi maana hata jeshi halijaonekana kwenye kusimamia katiba- polisi ni very low minded and most of them ni uneducated- imagine the consequence.

Mmbunge anathubutu kumzungumzia VP aisee ni hatari sana, na hili suala lipo organized chini ya Somoe - hata huyo mmbunge si yupo nae Urusi.

It is the game played by form four leavers ; not even SMART. what I know for sure ni Nchimbi is a smart guy who went through a formal education with PhD holder iliyopita kwenye panel ya Viva Voce- hawezi kuingia kwenye hoja za form 4 leavers wala msitegemee him to respond anything

- he is one of those great mind and yes Nchimbi as a human and smart boy hajapendezwa na masacree- as he believes kulikuwa na njia nyingi za kuzuia such a bloodshed na uharibifu wa historia ya nchi over 60 years just to put unintellectuel who even failed form 4

-Tatizo kubwa boss wenu alikuwa ana msnitch JPM- so she has the mentality kuwa if she is not defending herself …. She will be attacked .

As for now , hangaikeni tu but Samia Ana only two years kwenye hicho kiti na akitoka tu lazima tumfunge na timu yake - hakuna masacree inayoenda kimyakimya hata Hilter alikiri hilo

CCM ni trash 🚮 na kila adui wa CCM aungwe mkono
Itawachukua muda sana kuzijua siasa hizi.
Yaani kwa mlipofikia hata kesho tu Nchimbi akiomba kugombea URais kwa CHADEMA mtampa tu. Si mshamwona he's a Smart guy!
 
Huyu mtu wenu enyi watu wa kanisa! Nawahakikishia hatokuwa Rais kamwe! Tena mshamuharibia kwa ujinga wenu.....(Save this comment for 2030.inshallah
 
Haya maneno umeyakazia sana hata kwenye kichwa cha mada.
Ni hivi:
Kama kweli ni "smart" kama unavyomtangaza wewe; hakuna wakati mzuri kuliko sasa hivi kuonyesha huo u-smartness wake.

The nation is crying out for someone to move forward to redeem it!

U-smart wa kutegeshea fursa wakati ukitumikia uovu, hapo sioni u-smart wa aina yoyote.

asipoangalia watamkolimba na huo u-smart wake unaouona wewe.
Exactly!
Mazuzu hayo wao wanachoangalia udini! CCM imeteka akili za wajinga!
Nchimbi hawezi kuwa Rais washamuharibia tayari hii misukule!
 
Itawachukua muda sana kuzijua siasa hizi.
Yaani kwa mlipofikia hata kesho tu Nchimbi akiomba kugombea URais kwa CHADEMA mtampa tu. Si mshamwona he's a Smart guy!
Sasa kuna shidabgani akipewa?Si mutamuibia tu kura zake
 
Back
Top Bottom