mkongoman leo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2026
- 294
- 345
Mbona Nchimbi alijiudhuru uwaziri Mambo ya Ndani kashfa ya mauwaji TANAPA porini wafugaji. mmesahau.Mkuu Megalo Megalodon , naunga mkono hoja, kiukweli ni kosa kubwa sana, kuwa na VP wa average IQ, kwasababu hakuna aliyetegemea kuwa kuna siku rais wa JMT anaweza kufa akiwa madarakani, matokeo yake sasa ndio haya, mtu anaikwaa urais by default!
Amini usiamini ingekuwa Nchimbi ndie rais wa JMT, kile kilichotokea October 25, kisinge jibiwa vile!.
P.