Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Sijamaanisha hivyo hakuna aliuyeumizwa everything is okNchimbi amewahi kumuumiza nani?
Siyo kila mtoa maoni mitandaoni ana chama.
Sijamaanisha hivyo hakuna aliuyeumizwa everything is okNchimbi amewahi kumuumiza nani?
Siyo kila mtoa maoni mitandaoni ana chama.
Sidhani kama ni sawa kuwaita kwamba ni low minded people,nadhani ni vile watu saizi wameamua kumsapoti mtu yoyote ambaye yupo,upande wa wananchiSometimes watanzania Huwa ni low minded
Yaani Leo hii mnamuona MTU Fulani kuwa ni mkombozi wenu hata kama aliwahi kuwaumiza
Hili Jambo linafikirisha sana uelewa wa watz ni mdogo sana.
Hakuna shida. Hata Lowassa alipewa.Sasa kuna shidabgani akipewa?Si mutamuibia tu kura zake
Nikumbushe bosi ilikuwa comment gani mambo ya Tanganyika ni mengi. Leo, moroko, mara bungeni Dodoma, ujikaa hivi bunge la ulaya ulayakesho Urusi si kichwa Ina jam.James Comey do you remember brother nilichokuambia, Nchimbi huyu hapa😁😁
Ukimsikiliza mwigulu unapata mashaka na elimu yetu. Kivipo mtu anawaita wenziwe Wapumbavu na vibaraka hadharani.Hahahaaa. Yaani akili za nyumbu wa lissu bwana, acha nikae kimya tu nijichekee! Walivyo haraka kuandika basi, utafikiri Kuna lolote wanalolijuaaa.
Hivi Kuna kosa kuwaua wauaji?!!!Ukimsikiliza mwigulu unapata mashaka na elimu yetu. Kivipo mtu anawaita wenziwe Wapumbavu na vibaraka hadharani.
Anafanya hivyo akiwa pm siku akiwa president itakuwaje?
Ataacha kuuwa kweli huyu?
Usiwe mpumbavu wewe siyo Kila a anayeikosoa serikali basi huyo no chadema huo ni upumbavu.Yaani kamati tendaji za bavichaa zinawapa mihemko hadi unanunua bando na kuanza kubwatuka...
-unazungumzia nchi, polisi na jeshi kama vile mko nao hapo kamati tendaji ya bavichaa...utoto ni raha sana..
Bunge au mbunge ana uwezo ukapeleka hoja bungeni ya kutokuwa na imani na rais, kwa nini mbunge huyo huyo asimuongelee makamu wa rais?
Mnakuwa wajinga hadi mnatia huruma....anyway, ichezeni hyo ngoma...sasaiv hakuna anayegusia maudenda kuwa nyuma ya nondo...sasaiv anazungumziwa na kusifiwa nchimbi.
Nyie ni wajinga na mafala hakuna kitu kichwani.
Waliuwa wangapi na nyie mkauwa wangapi?Hivi Kuna kosa kuwaua wauaji?!!!
Kalambwe hukoWaliuwa wangapi na nyie mkauwa wangapi?
Haya tuome kama EU watafanya justification ya kipumbavu kama hii Ili msipigwe vikwazo.
Mkuu Megalo Megalodon , naunga mkono hoja, kiukweli ni kosa kubwa sana, kuwa na VP wa average IQ, kwasababu hakuna aliyetegemea kuwa kuna siku rais wa JMT anaweza kufa akiwa madarakani, matokeo yake sasa ndio haya, mtu anaikwaa urais by default!- he is one of those great mind and yes Nchimbi as a human and smart boy hajapendezwa na masacree- as he believes kulikuwa na njia nyingi za kuzuia such a bloodshed na uharibifu wa historia ya nchi over 60 years just to put unintellectuel who even failed form 4
CCM ni trash 🚮 na kila adui wa CCM aungwe mkono
Kuna watu waovu kabisa ndani ya jeshi la polisi, kama ilivyo miongoni mwa jamii ya kiTanzania.Kibaya zaidi nao wanaogopa kupoteza ugali wao, Na ndicho kinachowaponza wote, sifa wanazopewa kwenye media ndio zinazopelekea maovu na kuonewa kwa wananchi.
Wewe ni mpumbavu tu hata unitukane matusi Gani haiondoi ujinga wako ulijuaje kwamba Kuna kulambwa kama hujawahi kulambwa wewe kwanza?Kalambwe huko
Hapana bro Nchimbi sio smart kabisa mimi namfahamu siku nyingi sana,na huu ugomvi wake na Samia ni sawa na hadithi ya wasafiri kwenye mtumbwi,sasa mmoja wa watu waliomo kwenye mtumbwi awe anautoboa kisiri siri kwa azma ya kutaka kumzamisha mmoja kati ya watu waliomo.Hajui kwamba ukiuzamisha mtumbwi mtazama wote.Tulipofika ni total destruction of our country , and Samia does not know what else to do- hamna anachokifanya na kwasasa nchi ipo chini ya polisi maana hata jeshi halijaonekana kwenye kusimamia katiba- polisi ni very low minded and most of them ni uneducated- imagine the consequence.
Mmbunge anathubutu kumzungumzia VP aisee ni hatari sana, na hili suala lipo organized chini ya Somoe - hata huyo mmbunge si yupo nae Urusi.
It is the game played by form four leavers ; not even SMART. what I know for sure ni Nchimbi is a smart guy who went through a formal education with PhD holder iliyopita kwenye panel ya Viva Voce- hawezi kuingia kwenye hoja za form 4 leavers wala msitegemee him to respond anything
- he is one of those great mind and yes Nchimbi as a human and smart boy hajapendezwa na masacree- as he believes kulikuwa na njia nyingi za kuzuia such a bloodshed na uharibifu wa historia ya nchi over 60 years just to put unintellectuel who even failed form 4
-Tatizo kubwa boss wenu alikuwa ana msnitch JPM- so she has the mentality kuwa if she is not defending herself …. She will be attacked .
As for now , hangaikeni tu but Samia Ana only two years kwenye hicho kiti na akitoka tu lazima tumfunge na timu yake - hakuna masacree inayoenda kimyakimya hata Hilter alikiri hilo
CCM ni trash 🚮 na kila adui wa CCM aungwe mkono
Tulia tecdema nyumbu wewe! Upumbavu nimekuachia!Usiwe mpumbavu wewe siyo Kila a anayeikosoa serikali basi huyo no chadema huo ni upumbavu.
Yule warioba ni chadema tangu lini?
Ndo mana mmebaki na kubadilisha majina tu kwa ujinga wenu mara tec .mara chagadema kisa muwadunishe watu pumbavu
Ivi unahitaji kuwa chama Gani Ili ujuwe kwamba hapakuwa na uchaguzi huru nakwamba mlikuwa watu na Sasa mnahangaika kuuzika ukweli??????
Acha upumbavu chawa wewe
Dogo una mipasho kama mwanamke wa uswahilini. Huwezi kuongea hoja zako bila mipasho hii inaonesha uduni wa akili.Tulia tecdema nyumbu wewe! Upumbavu nimekuachia!
1. Kwani kipimo cha uchaguzi lazima tecdema ingeshiriki?
2. Kwani waliouliwa walikuwa waandamanaji au vibaka waliotwishwa mzigo wa misumari wa kutafuta katiba na tume kwenye maduka ya simu
-we kibaka amekufa inakuuma nn au ulimtuma?
3. Mbona wewe haukufa au ulikoswa koswa?
Nchi itaendelea bila tecdema wala chadomoghasia wala maudenda aliyepo nyuma ya nondo.