Nchi imeshaenda Kombo: Ninachoamini Nchimbi ni Smart Guy hamtoweza kumsikia akiingia kwenye mjadala wowote

Kibaya zaidi nao wanaogopa kupoteza ugali wao, Na ndicho kinachowaponza wote, sifa wanazopewa kwenye media ndio zinazopelekea maovu na kuonewa kwa wananchi.
 
Itawachukua muda sana kuzijua siasa hizi.
Yaani kwa mlipofikia hata kesho tu Nchimbi akiomba kugombea URais kwa CHADEMA mtampa tu. Si mshamwona he's a Smart guy!
 
Ukizingatia kwamba Mheshimiwa Mbunge naye alikuwa anatoa Hoja yake Kwa kuisoma kwenye Karatasi, inaonekena hayakuwa mawazo yake peke yake.. Ila yeye alikuwa anatimiza wajibu wake kama Mwanzilishi wa mada..
Duh ๐Ÿ™„ ! ๐Ÿ˜
 
Huyu mtu wenu enyi watu wa kanisa! Nawahakikishia hatokuwa Rais kamwe! Tena mshamuharibia kwa ujinga wenu.....(Save this comment for 2030.inshallah
 
Exactly!
Mazuzu hayo wao wanachoangalia udini! CCM imeteka akili za wajinga!
Nchimbi hawezi kuwa Rais washamuharibia tayari hii misukule!
 
Itawachukua muda sana kuzijua siasa hizi.
Yaani kwa mlipofikia hata kesho tu Nchimbi akiomba kugombea URais kwa CHADEMA mtampa tu. Si mshamwona he's a Smart guy!
Sasa kuna shidabgani akipewa?Si mutamuibia tu kura zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ