Nchi imeshaenda Kombo: Ninachoamini Nchimbi ni Smart Guy hamtoweza kumsikia akiingia kwenye mjadala wowote

Mbona Nchimbi alijiudhuru uwaziri Mambo ya Ndani kashfa ya mauwaji TANAPA porini wafugaji. mmesahau.
 
Wewe ni mpumbavu tu hata unitukane matusi Gani haiondoi ujinga wako ulijuaje kwamba Kuna kulambwa kama hujawahi kulambwa wewe kwanza?
Jenga hoja acha matusi . Chawa wa chooni weee
Sasa Kuna hoja gani hapo nyie nyumbu mnayoongea zaidi ya ujinga ujinga tu wa kinyumbu?!!! Kuzusha hili na lile
 
rubbish
 

Makamu wa Rais ni nafasi ya pili ya ukuu wa nchi. Inashangaza kuona Makamu wa Rais akishambuliwa bungeni na mbunge tena wa chama chake. Akipachikwa jina la Yuda, ambalo tafsiri yake ni usaliti wa kiwango cha juu zaidi. Kama msaidizi wa Raia Namba Moja, Rais wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu, anafanya mambo ya kisaliti ndani ya ofisi au chama chake. Kuna haja gani ya kuendelea kukaa ofisini hapo? Piga nyama chini kama kweli ni msafi. chanzo.Kanyamala Media
 
Mastermind ni yuleyule, mchezo upo smart sana tatizo ni kwetu watazamaji tunaangalia tulichopangiwa kukiona siyo nyuma ya tunachokiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…