Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Nchi imeshagawanyika hii watu wanataka reforms za kiuchaguzi ila mamlaka inajizima data.
Sipati picha tunakoelekea kama kuna watu wachache watataka kupelekesha uchaguzi vile wanavyotaka wao ufanyike kisha wajitangaze ni viongozi wa nchi sijui itakuwaje.
Kama watategemea jeshi na dola kuwalinda bado jishi na dola linauwezo mdogo sana na teknolojia ndogo pia wapo wachache sana, iwapo wananchi wataamua kuandamana kwa wingi kwenda ikulu na bungeni jeshi halitaweza kuzuia ndio utasikia mamlaka imekimbia nchi.
Hatupo pamoja na utawala wa sasa tunataka reforms na sio kitu kingine mtu asijekujitangaza ni raisi.