Nchi ina Mahakimu wapuuzi, Wajinga walokoswa Hekima na Busara. Unamfungaje Mtu Miaka 30 Jela, kisa Bangi Gramu 56?

Nchi ina Mahakimu wapuuzi, Wajinga walokoswa Hekima na Busara. Unamfungaje Mtu Miaka 30 Jela, kisa Bangi Gramu 56?

Ndiyo tunasema sheria kama hizi zingewekwa kwa wale wabadhirifu,wala pesa za umma nako kungenyooka

Ova
Kama walivyonyooka wakati wa Magufuli..
Hivi unadhani kipindi kile anataifisha pesa za baadhi ya bureau de change hakuwa sahihi? Magufuli alikuwa sshihi kabisa.,,alifunga bureau zote na kuacha bank pekee .
Bureau de change wengi ni watakatishaji pesa..

Serikali haipati kodi yeyote ndy kinachoendelea kwa sasa money laundering..
 
Kama hakuna anayetuhumiwa kwa ufisadi,ila mmeamua kuyakomalia mambo ya madawa ,,?
Kweli Tanzania tuna safari ndefu sana...

Magufuli sera ya kudeal na uhalifu wote nilimuelewa sn.
Ali deal na madawa kweli.
Money laundering kweli
Ufisadi kwl
Na inchi tuliona inasogea mbele...kila mtu aliogopa.
Pia sheria ya mdawa ukiwa na gram 100 unapewa hata dhamana,,unapewa hukumu ndogo au faini,,
tena bangi ambayo tunalima wenyewe umfunge mtu kwa 56 grms hizi ni roho mbaya...
Siyo roho mbaya ni sheria mbaya
 
Sethi singasinga,lwekaza, na walio tajwa kwenye report ya C.A.G majizi mafisadi wanadunda tu mjini. Hii serikali ya chura aka kizimkazi Chama lao.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kama hakuna anayetuhumiwa kwa ufisadi,ila mmeamua kuyakomalia mambo ya madawa ,,?
Kweli Tanzania tuna safari ndefu sana...

Magufuli sera ya kudeal na uhalifu wote nilimuelewa sn.
Ali deal na madawa kweli.
Money laundering kweli
Ufisadi kwl
Na inchi tuliona inasogea mbele...kila mtu aliogopa.
Pia sheria ya mdawa ukiwa na gram 100 unapewa hata dhamana,,unapewa hukumu ndogo au faini,,
tena bangi ambayo tunalima wenyewe umfunge mtu kwa 56 grms hizi ni roho mbaya...
Siyo roho mbaya ni sheria mbaya
 
Mbona sijasikia wa cocaine wakinyeshewa mvua kama hawa wa bangi?
Watu wanaokamatwa na bangi ni wengi zaidi kuliko hao wa Cocaine plus hao wengine kukamatika kwao huwa ni mtiti.
Kesi nyingi za madawa ya kulevya ni za bangi na hii imekuwa viral kwa sababu ya kutangazwa kwenye media.
 
Sahihi kabisa mkuu Wazazi wengi mitaani wanalia wamepoteza vijana wao kwa uraibu wa Bangi, watu waende pale Mirembe hospital vichaa wengi wa pale chanzo ni Bangi.
Ila serikali inatoa madawa kwenda kwenye vituo vya afya ila dawa hazifiki vituoni,,wanaamua kupeleka kwenye pharmacy zao huoni kama ni tatizo?kusababisha uhaba wa dawa hospital za serikali?
Mtu anapewa pesa za mradi wa wanainchi anakula huoni kama ni tatizo?
Hivi bangi ulishaona mtu ameshikiwa panga avute bangi Kwa lazima?hii ni athari ya mtu mmoja mmoja ila mtu akihujumu mali ya umma anaathiri taifa zima kwann asishughulikiwe?anaachwaje?
 
Hata mimi nimeshangaa kwanini hajafungwa maisha. Muuza bangi sio wa kuonewa huruma. Familia nyingi zinalia vijana kuharibika kwa sababu ya hizo bangi. Kilio ni kikubwa nchi nzima. Huyo kahurumiwa sana.
Ulishawali kushikiwa panga kwa nguvu uvute bangi?fisadi anapokula pesa za umma anamgharimu kila mmoj ktk taifa hili kwann asishughulikiwe?
Ufisadi unagharumu taifa zima na sio mtu mmoja mmoja.
 
Kijana Miaka 30 Jela,
Umeteseka kwa kuwa ni mlokole mwenzako

Wakati amefungwa kobazi ulikuja humu kumtetea?


1789161888746.png
 
Hivi wewe Hakimu, ukizitafakari Njia zako zilizojaa kupokea Rushwa ya Pesa, Ngono n.k
Unapata Wapi Nguvu ya Kumfunga Kijana miaka 30 Jela?.

Kwamba Maisha yake yote ya Utafutaji yaishie Jela?

Jela kama sehemu ya kurekebisha Tabia, Huyu si alipaswa kuchapwa Viboko 24 , Jela Miezi SITA -MWAKA MMOJA.

Kisha aachiwe Huru, tuonane kama Huo Mwaka mmoja hamjamtosha kubadili Njia zake??.

Hivi nyinyi Mahakimu, Mnasoma Vyuo gani? Mbona mmejaa Usenge Mwingi sana?

Unamfungaje Mtu miaka 30 kisa Bangi, zao Biashara ambalo NCHI nyingine wamelihalalisha kama Kilimo halali cha Biashara na Zao linalotumika katika utengenezaji wa Dawa ?.

Yaan Unamfunga Kijana Miaka 30 Jela, wakati NCHI Jiran, Bangi ni zao la Fursa Uchumi kwa Vijana wao??.

Miaka 30 Jela ? Bangi Gramu 56?

Hii NCHI inahitaji Ukombozi , Hawa ndio Mahakimu uchwara, upuuzi, walosoma kwankuunga unga na kukalili, Wala Rushwa na wafanya maovu walokosa Hekima na Busara !!.

Pumbavu kabisa Hakimu ulotoa Hii hukumu, na ndio sababu mnakuaga na UZAO wa hovyovyo, mnazaa mitotot mijinga na mipunguani !.

Inasiktisha sana.
 
Hata mimi nimeshangaa kwanini hajafungwa maisha. Muuza bangi sio wa kuonewa huruma. Familia nyingi zinalia vijana kuharibika kwa sababu ya hizo bangi. Kilio ni kikubwa nchi nzima. Huyo kahurumiwa sana.
Tangu wakulawiti hujatulia kabisa au umenogewa
 
Back
Top Bottom