Nchi ina Mahakimu wapuuzi, Wajinga walokoswa Hekima na Busara. Unamfungaje Mtu Miaka 30 Jela, kisa Bangi Gramu 56?

Unajuwa gram 56 ni kiadi gn?sheria inahukumu kwa kiwango cha madawa uliyonayo..
Ukikutwa na zaidi ya gram 250 iwe heroin, cocaine nk hii haina dhamana.
Sio kwa gram 56 tena bangi..hicho kiasi hakitoshi hata kusema ni muuza bangi,au alikuwa a anavuta au anasafirisha...
Hata huko Marekani na ulaya wenzetu wanahukumu kutokana na nature na kiasi cha madawa yenyewe....
Hamia Ulaya ukauze madawa. Hapa tutakufunga miaka 30 au maisha kabisa.
 
Hii NCHI inahitaji Ukombozi , Hawa ndio Mahakimu uchwara, upuuzi, walosoma kwankuunga unga na kukalili, Wala Rushwa na wafanya maovu walokosa Hekima na Busara !!.

Pumbavu kabisa Hakimu ulotoa Hii hukumu, na ndio sababu mnakuaga na UZAO wa hovyovyo, mnazaa mitotot mijinga na mipunguani !.
Ungeweka na kifungu alichotumia kumfunga miaka 30 jela kimetoka wapi kwenye Penal Code au Criminal Procedure au vyote kwa pamoja?
 
Wakati huo huo unamuacha mwizi wa mabilioni ya pesa anayewaibia wa Tanzania na kusababisha vifo vya watu masikini wanaokufa kila leo kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu ...???
 
Hivi wewe Hakimu, ukizitafakari Njia zako zilizojaa kupokea Rushwa ya Pesa, Ngono n.k
Unapata Wapi Nguvu ya Kumfunga Kijana miaka 30 Jela?.

Kwamba Maisha yake yote ya Utafutaji yaishie Jela?

Jela kama sehemu ya kurekebisha Tabia, Huyu si alipaswa kuchapwa Viboko 24 , Jela Miezi SITA -MWAKA MMOJA.

Kisha aachiwe Huru, tuonane kama Huo Mwaka mmoja hamjamtosha kubadili Njia zake??.

Hivi nyinyi Mahakimu, Mnasoma Vyuo gani? Mbona mmejaa Usenge Mwingi sana?

Unamfungaje Mtu miaka 30 kisa Bangi, zao Biashara ambalo NCHI nyingine wamelihalalisha kama Kilimo halali cha Biashara na Zao linalotumika katika utengenezaji wa Dawa ?.

Yaan Unamfunga Kijana Miaka 30 Jela, wakati NCHI Jiran, Bangi ni zao la Fursa Uchumi kwa Vijana wao??.

Miaka 30 Jela ? Bangi Gramu 56?

Hii NCHI inahitaji Ukombozi , Hawa ndio Mahakimu uchwara, upuuzi, walosoma kwankuunga unga na kukalili, Wala Rushwa na wafanya maovu walokosa Hekima na Busara !!.

Pumbavu kabisa Hakimu ulotoa Hii hukumu, na ndio sababu mnakuaga na UZAO wa hovyovyo, mnazaa mitotot mijinga na mipunguani !.

Upuuzi wake ni kwa Mujibu wa Sheria ipi? Na hukumu yake imekiuka Sheria gani?
 
Hamia Ulaya ukauze madawa. Hapa tutakufunga miaka 30 au maisha kabisa.
Ndy Tanzania tutaendelea kuwa masikini maisha,,
Mnaweka sheria zinazobana masikini,
Ila kwenye ufisadi mnajuwa zitawabana nyie na kushindwa kuiba pesa za umma.
Kama kwl mnataka haki wekeni sheria ufisadi na bangi hukumu sawa..
Mbona china,korea kaskazini wameweza?
Unaziona zilipo kwa sasa?
 
Ndy Tanzania tutaendelea kuwa masikini maisha,,
Mnaweka sheria zinazobana masikini,
Ila kwenye ufisadi mnajuwa zitawabana nyie na kushindwa kuiba pesa za umma.
Kama kwl mnataka haki wekeni sheria ufisadi na bangi hukumu sawa..
Cha muhimu jua muuza bangi kifungo ni miaka 30. Uza bangi at your own risk
 
Ndy akili za kiafrika zilipoishia,,bangi ina athari gn kwa taifa?
Mfu anayekula pesa za miradi ya inchi ndy tumseme aone aibu...
- ufisadi
-humsn trafficking
  • ujambazi
  • money laundering
Hizi ndy kesi za kusukuma mbele inchi sio kesi za kuchungulia mtu chooni.
 
Hamia Ulaya
 
Hivi wewe Hakimu, ukizitafakari Njia zako zilizojaa kupokea Rushwa ya Pesa, Ngono n.k
Unapata Wapi Nguvu ya Kumfunga Kijana miaka 30 Jela?.

Kwamba Maisha yake yote ya Utafutaji yaishie Jela?

Jela kama sehemu ya kurekebisha Tabia, Huyu si alipaswa kuchapwa Viboko 24 , Jela Miezi SITA -MWAKA MMOJA.

Kisha aachiwe Huru, tuonane kama Huo Mwaka mmoja hamjamtosha kubadili Njia zake??.

Hivi nyinyi Mahakimu, Mnasoma Vyuo gani? Mbona mmejaa Usenge Mwingi sana?

Unamfungaje Mtu miaka 30 kisa Bangi, zao Biashara ambalo NCHI nyingine wamelihalalisha kama Kilimo halali cha Biashara na Zao linalotumika katika utengenezaji wa Dawa ?.

Yaan Unamfunga Kijana Miaka 30 Jela, wakati NCHI Jiran, Bangi ni zao la Fursa Uchumi kwa Vijana wao??.

Miaka 30 Jela ? Bangi Gramu 56?

Hii NCHI inahitaji Ukombozi , Hawa ndio Mahakimu uchwara, upuuzi, walosoma kwankuunga unga na kukalili, Wala Rushwa na wafanya maovu walokosa Hekima na Busara !!.

Pumbavu kabisa Hakimu ulotoa Hii hukumu, na ndio sababu mnakuaga na UZAO wa hovyovyo, mnazaa mitotot mijinga na mipunguani !.

Sheria ya Madawa ya kulevya ilibadilishwa chini ya Rais Magufuli uliyekuwa unamhusudu sana kuweka hicho kifungo cha miaka thelathini kwa kosa la kukutwa na gram 50 za bangi, haikuishia hapo adhabu kwenye kila category ya dawa za kulevya iliongezwa.

Leo mnamtukana Hakimu ambaye anatekeleza kilichopo kwenye Sheria.
Tatizo hamsomi mkaelewa manfanya mambo kwa emotions tu.
 
Wakati huo huo unamuacha mwizi wa mabilioni ya pesa anayewaibia wa Tanzania na kusababisha vifo vya watu masikini wanaokufa kila leo kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu ...???
Kabisa mkuu,,sheria zimetungwa kumbana masikini anayejitafuta..
Wezi wa mali ya umma hakuna sehemu wanabanwa
 
Sheria ya Madawa ya kulevya ilibadilishwa chini ya Rais Magufuli uliyekuwa unamhusudu sana kuweka hicho kifungo cha miaka thelathini kwa kosa la kukutwa na gram 50 za bangi, haikuishia hapo adhabu kwenye kila category ya dawa za kulevya iliongezwa.

Leo mnamtukana Hakimu ambaye anatekeleza kilichopo kwenye Sheria.
Tatizo hamsomi mkaelewa manfanya mambo kwa emotions tu.
Alifunguwa na mahakama ya mafisadi,
Kwa sasa ipo wapi?
Na nani alishawahi shikiliwa au kupelekwa mahakamani baada ya Magufuli kufa?
 
Akifunguwa na mahakama ya mafisadi,
Kwa sasa ipo wapi?
Na nani alishawahi shikiliwa au kupelekwa mahakamani baada ya Magufuli kufa?
Hiyo mahakama ipo mpaka kesho inafanya kazi.
Suala la kushitaki mafisadi ni la Serikali siyo la mahakama kuwatafuta.

Yote hayo hayaondoi ukweli kuwa kijana huyu amehukumiwa na Sheria iliyotungwa na utawala wa Magufuli.

Msichokielewa ni kwamba Utawala wa Magufuli ulitengeneza Sheria kandamizi nyingi sana ni suala la muda tu kukutana nazo.
 
Sheria ya Madawa ya kulevya ilibadilishwa chini ya Rais Magufuli uliyekuwa unamhusudu sana kuweka hicho kifungo cha miaka thelathini kwa kosa la kukutwa na gram 50 za bangi, haikuishia hapo adhabu kwenye kila category ya dawa za kulevya iliongezwa.

Leo mnamtukana Hakimu ambaye anatekeleza kilichopo kwenye Sheria.
Tatizo hamsomi mkaelewa manfanya mambo kwa emotions tu.
Baada ya Magufuli kufa hyo mahakama ya mafisadi ipo wp kwa sasa?
Na nani alishawahi kupelekwa huko?
 
Hiyo mahakama ipo mpaka kesho inafanya kazi.
Suala la kushitaki mafisadi ni la Serikali siyo la mahakama kuwatafuta.

Yote hayo hayaondoi ukweli kuwa kijana huyu amehukumiwa na Sheria iliyotungwa na utawala wa Magufuli.

Msichokielewa ni kwamba Utawala wa Magufuli ulitengeneza Sheria kandamizi nyingi sana ni suala la muda tu kukutana nazo.
Ndiyo tunasema sheria kama hizi zingewekwa kwa wale wabadhirifu,wala pesa za umma nako kungenyooka

Ova
 
Hiyo mahakama ipo mpaka kesho inafanya kazi.
Suala la kushitaki mafisadi ni la Serikali siyo la mahakama kuwatafuta.

Yote hayo hayaondoi ukweli kuwa kijana huyu amehukumiwa na Sheria iliyotungwa na utawala wa Magufuli.

Msichokielewa ni kwamba Utawala wa Magufuli ulitengeneza Sheria kandamizi nyingi sana ni suala la muda tu kukutana nazo.
Kama hakuna anayetuhumiwa kwa ufisadi,ila mmeamua kuyakomalia mambo ya madawa ,,?
Kweli Tanzania tuna safari ndefu sana...

Magufuli sera ya kudeal na uhalifu wote nilimuelewa sn.
Ali deal na madawa kweli.
Money laundering kweli
Ufisadi kwl
Na inchi tuliona inasogea mbele...kila mtu aliogopa.
Pia sheria ya mdawa ukiwa na gram 100 unapewa hata dhamana,,unapewa hukumu ndogo au faini,,
tena bangi ambayo tunalima wenyewe umfunge mtu kwa 56 grms hizi ni roho mbaya...
 
Back
Top Bottom