mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Sheria ilitungwa kali kweli kweli aise!Sheria zinatungwa Bungeni sio mahakamani
Utofauti ni nn kama mtu akilewa anatukana watu na kufanya mambo ya hovyo,.kwani bangi ina shida gnPombe na bangi ni vitu viwili tofauti mkuu ukikamatwa na bangi haijalishi wewe ni boss au mtumiaji wote mtawajibishwa
Huyu jamaa karibu kila comment yangu lazima apingeBasi mzee wa hiphop
Nini tena
Ova
Bhangi haina shida ndio mana nchi nyingi imehalalisha.Bangi inaharibu vijana safi sana hukumu nzuri nimeipenda.
Ile sheria iliyotungwa ikapitishwa ilikuwa kali sanaWatanzania ni kama wamerogwa huyo mtu anaonekana anaitumia mwenyewe kuvuta anafungwa miaka 30 nchi ina wendawazimu ndio wanatoa hukumu.
Kwani hiyo sheria alitunga baba ako au huyo aliyehukumu hiyo sheria ipo kwenye mafaili sasa usifikiri tu huyo jaji anajiamulia tu ahukumu miaka mingapiHivi wewe Hakimu, ukizitafakari Njia zako zilizojaa kupokea Rushwa ya Pesa, Ngono n.k
Unapata Wapi Nguvu ya Kumfunga Kijana miaka 30 Jela?.
Kwamba Maisha yake yote ya Utafutaji yaishie Jela?
Jela kama sehemu ya kurekebisha Tabia, Huyu si alipaswa kuchapwa Viboko 24 , Jela Miezi SITA -MWAKA MMOJA.
Kisha aachiwe Huru, tuonane kama Huo Mwaka mmoja hamjamtosha kubadili Njia zake??.
Hivi nyinyi Mahakimu, Mnasoma Vyuo gani? Mbona mmejaa Usenge Mwingi sana?
Unamfungaje Mtu miaka 30 kisa Bangi, zao Biashara ambalo NCHI nyingine wamelihalalisha kama Kilimo halali cha Biashara na Zao linalotumika katika utengenezaji wa Dawa ?.
Yaan Unamfunga Kijana Miaka 30 Jela, wakati NCHI Jiran, Bangi ni zao la Fursa Uchumi kwa Vijana wao??.
Miaka 30 Jela ? Bangi Gramu 56?
Hii NCHI inahitaji Ukombozi , Hawa ndio Mahakimu uchwara, upuuzi, walosoma kwankuunga unga na kukalili, Wala Rushwa na wafanya maovu walokosa Hekima na Busara !!.
Pumbavu kabisa Hakimu ulotoa Hii hukumu, na ndio sababu mnakuaga na UZAO wa hovyovyo, mnazaa mitotot mijinga na mipunguani !.
Mjinga wewe, huna akili , Umewahi kuwaza kwann katika hukumu Kuna MAAMUZI YA BUSARA YA HAKIMU/JAJI.?.Kwani hiyo sheria alitunga baba ako au huyo aliyehukumu hiyo sheria ipo kwenye mafaili sasa usifikiri tu huyo jaji anajiamulia tu ahukumu miaka mingapi
Ww mvuta bangi na wenzio hamna akili mkishavuta bangi kijiweni huko mnafundishana ujinga hiyo miaka 30 haitoshiMjinga wewe, huna akili , Umewahi kuwaza kwann katika hukumu Kuna MAAMUZI YA BUSARA YA HAKIMU/JAJI.?.
Gram 56 inaendana na Kosa la Ubakaji??.
Sheria ya hovyo sana hiyo.Ile sheria iliyotungwa ikapitishwa ilikuwa kali sana
Ila akikata rufaa anaweza kuchomoka akapunguziwa adhabu
Ova
We inaonekana akili iko matakoni, kinachomfunga mtu ni sheria siyo hakimu, hakimu hajatunga sheria.Hivi wewe Hakimu, ukizitafakari Njia zako zilizojaa kupokea Rushwa ya Pesa, Ngono n.k
Unapata Wapi Nguvu ya Kumfunga Kijana miaka 30 Jela?.
Kwamba Maisha yake yote ya Utafutaji yaishie Jela?
Jela kama sehemu ya kurekebisha Tabia, Huyu si alipaswa kuchapwa Viboko 24 , Jela Miezi SITA -MWAKA MMOJA.
Kisha aachiwe Huru, tuonane kama Huo Mwaka mmoja hamjamtosha kubadili Njia zake??.
Hivi nyinyi Mahakimu, Mnasoma Vyuo gani? Mbona mmejaa Usenge Mwingi sana?
Unamfungaje Mtu miaka 30 kisa Bangi, zao Biashara ambalo NCHI nyingine wamelihalalisha kama Kilimo halali cha Biashara na Zao linalotumika katika utengenezaji wa Dawa ?.
Yaan Unamfunga Kijana Miaka 30 Jela, wakati NCHI Jiran, Bangi ni zao la Fursa Uchumi kwa Vijana wao??.
Miaka 30 Jela ? Bangi Gramu 56?
Hii NCHI inahitaji Ukombozi , Hawa ndio Mahakimu uchwara, upuuzi, walosoma kwankuunga unga na kukalili, Wala Rushwa na wafanya maovu walokosa Hekima na Busara !!.
Pumbavu kabisa Hakimu ulotoa Hii hukumu, na ndio sababu mnakuaga na UZAO wa hovyovyo, mnazaa mitotot mijinga na mipunguani !.
Lakini kuna sentencing guidelines inayomuongoza hakimu namna ya kutoa hukumu ikiwemo kupunguza adhabu.We inaonekana akili iko matakoni, kinachomfunga mtu ni sheria siyo hakimu, hakimu hajatunga sheria.
Kiwango hicho Cha gram 56 ni Cha mtumiaji na sio muuzaji,huo ni msokoto mmoja tu!Bangi avute yeye kwa utashi wake binafsi bila kuingilia uhuru wa mtu halafu ukamfunge maisha?,Mkuu uko timamu kweli?
Binafsi nadhani kama angevuta bangi ikafanya vitendo viovu vya uvunjifu wa sheria ndipo alipaswa ashughulikiwe!
Hilo Bichwa umepewa kufugia Minyoo?.We inaonekana akili iko matakoni, kinachomfunga mtu ni sheria siyo hakimu, hakimu hajatunga sheria.
Unazungumzia mtumiaji na muuzaji wote wanyongwe tu!Hizo gram 56 ni msokoto mmoja tu,huyo ni mtumiaji(muathirika) ambaye alipaswa kupelekwa rehab au kupewa elimu!ikithibitika pasina shaka yoyote mtu amekamatwa na madawa ya kulevya aina yoyote ile, anyongwe tu ili kuliokoa taifa na madhara useless ya madawa ya kulevya 🐒
Kwa hyo kumfunga hyo miaka ndo kutazuia bangi Tz nzma?yaan nyie watu wa kuona siku zenu kila mwsho wa mwezi mna shida sanaaHata mimi nimeshangaa kwanini hajafungwa maisha. Muuza bangi sio wa kuonewa huruma. Familia nyingi zinalia vijana kuharibika kwa sababu ya hizo bangi. Kilio ni kikubwa nchi nzima. Huyo kahurumiwa sana.
Don't confuse being loud and vulgar with being right.Wewe ni K♡MA