Nchi ina Mahakimu wapuuzi, Wajinga walokoswa Hekima na Busara. Unamfungaje Mtu Miaka 30 Jela, kisa Bangi Gramu 56?

Unazungumzia mtumiaji na muuzaji wote wanyongwe tu!Hizo gram 56 ni msokoto mmoja tu,huyo ni mtumiaji(muathirika) ambaye alipaswa kupelekwa rehab au kupewa elimu!
Tukienda kwa logic Yako,inamaana hata rehabilitation centers zifungwe maana wale nao wanapaswa kunyongwa!Unaanzaje kuwa muathirika bila kwenda kununua mzigo na kuutumia?Inamaana wote hao ni wa kunyongwa!
Usipende kujadili mada kwa mihemko kulingana na maslahi Yako,kuwa open minded!
Ni ushauri tu!
mtumiaji na muuzaji wa madawa ya kulevya wote wanaostahili kunyongwa hadi kufa gentleman 🐒
 
Unalaumu mahakimu mzee!? Hapana hakimu kazi yake ni kutafsiri Sheria tu na kutoa adhabu tu mengine hayamuhusu. Madawa yote ya kulevya Yana Sheria Kali so fanya at your own risk, tupunguze lawana
 
Hapa ni wavuta bangi vs wasiovuta bangi.

Bangi ni mbaya sana
 
Huyo kafungwa kwa sababu hana pesa ya rushwa.Gramu hamsini si ni ganja ya kuvuta weekend tu.Akate rufaa na kuhonga baada ya miezi miwili anatoka.Nchi hii vikesi kama hivi ni hongo tu.
Hata kama hana pesa za rushwa shida ya Africa tumeweka sheria kali za madawa na kusahau adui mkubwa wa maendeleo ni ufisadi,na utakatishaji pesa,,
Wazungu washatoka huko..kesi ya madawa ulaya, Marekani unafungwa mwaka au miwili tu,,ila ufisadi ndy adui no 1 wa maendeleo ya inchi,,mzungu anakufunga kweli hawana mchezo na kesi za. Ufisadi,jambazi,rushwa,human trafficking ila sio madawa.
Sisi bado tumeng'cang'ania kufungana maisha kesi za madawa ila anayekula pesa za umma tumseme aone aibu..

Sheria zibadilishwe fisadi na muuza madawa hukumu iwe moja kama utaona watu wanaiba pesa za umma....
 
Unalaumu mahakimu mzee!? Hapana hakimu kazi yake ni kutafsiri Sheria tu na kutoa adhabu tu mengine hayamuhusu. Madawa yote ya kulevya Yana Sheria Kali so fanya at your own risk, tupunguze lawana
Unajuwa gram 56 ni kiadi gn?sheria inahukumu kwa kiwango cha madawa uliyonayo..
Ukikutwa na zaidi ya gram 250 iwe heroin, cocaine nk hii haina dhamana.
Sio kwa gram 56 tena bangi..hicho kiasi hakitoshi hata kusema ni muuza bangi,au alikuwa a anavuta au anasafirisha...
Hata huko Marekani na ulaya wenzetu wanahukumu kutokana na nature na kiasi cha madawa yenyewe....
 
Wanaotunga hizo sheria ndio wenye matatizo.
Sheria ina shida ila pia wanaotafsiri hizo Sheria.
56 grams bangi umfunge miaka sawa na mbakaji,sawa na jambazi? Tena hata jambazi anafungwa miaka michache...
Huu ni upuuzi wa kiwango cha juu...
 
Unajuwa gram 56 ni kiadi gn?sheria inahukumu kwa kiwango cha madawa uliyonayo..
Ukikutwa na zaidi ya gram 250 iwe heroin, cocaine nk hii haina dhamana.
Sio kwa gram 56 tena bangi..hicho kiasi hakitoshi hata kusema ni muuza bangi,au alikuwa a anavuta au anasafirisha...
Hata huko Marekani na ulaya wenzetu wanahukumu kutokana na nature na kiasi cha madawa yenyewe....
Weka kifungu cha Sheria tuone kama

Gram 56 za bangi ni sawa na kete ngapi? Nina uhakika hazipungui kete 30+ hizi ni nyingi mno mzee
 
Kete zinafungwa kulingana na market uliyonayo.
Ukubwa wa mzigo haupimwi kwa kete bali uzito wenyewe.

Tuache kesi za kipuuzi tudeal na mafisadi.
Kwann hawataki kuweka kesi ya ufisadi kundi moja na madawa?
Wanaogopa nn? hivi bangi au mirungi ni ya kufunga mtu miaka?
 
Bangi mirungi vimo kwenye kundi la madawa ya kulevya, ni sawa uzito haupimwi kwa wingi wa kete ila nmekupa hiyo uelewe tu kuwa kete 30+ sio mzigo mdogo. Kwa Sheria za Tanzania gram 50 inachukuliwa ni matumiz binafsi tu adhabu ni fine au kifungo kidogo, sasa jamaa kakutwa na gram 56 ambazo Sheria inatafsiri ni kwa matumizi ya kibiashara zaidi kwa hiyo mahakama ipo sahihi
 
Bangi bado haitoshi kumfunga mtu miaka 30..
Hivi bangi ina athari gn kwa inchi zaidi ya ufisadi?
Haya mambo ni upuuzi mtupu..
Kama grm 56 unamfunga mtu miaka 30 ingekuwa 1 kg si ndy kufungwa maisha?
 
mtumiaji na muuzaji wa madawa ya kulevya wote wanaostahili kunyongwa hadi kufa gentleman 🐒
Naona uko fikra zangu na zako ni ardhi na mbingu so let's end here!Asubuhi njema!
 
Bangi mirungi vimo kwenye kundi la madawa ya kulevya, ni sawa uzito haupimwi kwa wingi wa kete ila nmekupa hiyo uelewe tu kuwa kete 30+ sio mzigo mdogo. Kwa Sheria za Tanzania gram 50 inachukuliwa ni matumiz binafsi tu adhabu ni fine au kifungo kidogo, sasa jamaa kakutwa na gram 56 ambazo Sheria inatafsiri ni kwa matumizi ya kibiashara zaidi kwa hiyo mahakama ipo sahihi
Inamaana gram 50 ni matumizi ya kawaida ila gram 56 ni kibiashara zaidi!Yaani gram 6 ndio inatofautisha kati ya miaka 30 au fine au adhabu ndogo?Sijui nimekuelewa vizuri?
 
Sheria ina shida ila pia wanaotafsiri hizo Sheria.
56 grams bangi umfunge miaka sawa na mbakaji,sawa na jambazi? Tena hata jambazi anafungwa miaka michache...
Huu ni upuuzi wa kiwango cha juu...
Exactly,watu tunawaona kitaa wanasokota ganja na Wala hatushtuki!Ila kuona mtu anabaka ni nadra sana!
Sasa ndio hapo napata ukakasi kuona mtu anafungwa miaka 30 kwa kukutwa na kiasi Cha matumizi yake!
 
Ni kijana wa hapa mtaani alikuwa kijana mwema kabisa akaenda chuo akapata Degree Kampuni moja kubwa ya Mawasiliano hapa Tz ikampa kazi ya Meneja wa tawi lao dogo lililopo Dodoma kipindi anapata kazi alikuwa na miaka 27,

kuanza kazi na kujumlisha mihemko ya kushika pesa nyingi akaanza starehe za wanawake na Bangi alijikuta amekuwa mraibu wa bangi mpaka kuna siku zikawa hafiki kazini kabisa anavuta mpka anakuwa kama mgonjwa kabisa kazini haendi na ruhusa haombi mara akienda kazini havai tena kiofisi anavaa anavyojisikia yeye akirekebishwa anajibu hovyo mixer kuvaa mirege,

Wakamvumilia ila ikafika kipindi mpka akaanza kuvutia bangi ofisini hapo wakamchoka na kumtimua kazini....stress za kukosa kazi mixer pesa hana akaanza kuuza vitu vyake vya thamani kisha anatumia kwenye bangi tu yeye hata kulewa alikuwa halewi ni bangi tena anaita wenzake kibao wanavuta hata watu 30 kwa pamoja,

Na vitu vya thamani vilivyomuishia stress plus bangi akajikuta amekuwa kichaa kabisa navyokwambia siku hizi anashinda majalalani,

Kuna wakti watu walimshika kwa nguvu wakampeleka mirembe akapata nafuu kabisa ila alivyoludi tu akaanza kuvuta tena Bangi na ndo hali imekuwa mbaya zaidi saivi hata kkumbuka watu tena hakumbuki kiufupi ni kichaa mazima.

NB: Bangi sio nzuri
Oya hii stori hatununui, kaokote waporipori. Hakuna mraibu wa bangi wa namna hiyo
 
Exactly,watu tunawaona kitaa wanasokota ganja na Wala hatushtuki!Ila kuona mtu anabaka ni nadra sana!
Sasa ndio hapo napata ukakasi kuona mtu anafungwa miaka 30 kwa kukutwa na kiasi Cha matumizi yake!

Bangi ni kama tume i overate tu. Tunge achana nayo tu
 
Africa ni wapuuzi sn,,kesi za madawa wazungu wanazipuuza sn,,

Tutaendelea kuwa masikini maisha yetu yote sababu ya ujinga wetu waafrica...
Utamfungaje muuza madawa miaka mingi na kumwacha fisadi anayekula mali ya umma uraiani?
Mmmmh !!! 😳😳🙄🙄 !
 
Back
Top Bottom