Nchi ina Mahakimu wapuuzi, Wajinga walokoswa Hekima na Busara. Unamfungaje Mtu Miaka 30 Jela, kisa Bangi Gramu 56?

Nchi ina Mahakimu wapuuzi, Wajinga walokoswa Hekima na Busara. Unamfungaje Mtu Miaka 30 Jela, kisa Bangi Gramu 56?

Bangi avute yeye kwa utashi wake binafsi bila kuingilia uhuru wa mtu halafu ukamfunge maisha?,Mkuu uko timamu kweli?

Binafsi nadhani kama angevuta bangi ikafanya vitendo viovu vya uvunjifu wa sheria ndipo alipaswa ashughulikiwe!
ikithibitika pasina shaka yoyote mtu amekamatwa na madawa ya kulevya aina yoyote ile, anyongwe tu ili kuliokoa taifa na madhara useless ya madawa ya kulevya 🐒
 
Kuna jamaa alivuita bangi bana asee akawa anampiga mamaa yake mzazi anachukua chupi za mama yake anazitundika mlangoni kama pazia aseee 😔
Hizo ni stori za Abunuwasi.Mbona kuna kiongozi wa juu wa CCM alipiga mtu risasi barabarani akauwa,siku ya hukumu akaingilia mlango anaoingilia jaji na kesi akashinda.Je alikuwa amevuta bangi ikamtuma kufyatua risasi?
 
Hivi wewe Hakimu, ukizitafakari Njia zako zilizojaa kupokea Rushwa ya Pesa, Ngono n.k
Unapata Wapi Nguvu ya Kumfunga Kijana miaka 30 Jela?.

Kwamba Maisha yake yote ya Utafutaji yaishie Jela?

Jela kama sehemu ya kurekebisha Tabia, Huyu si alipaswa kuchapwa Viboko 24 , Jela Miezi SITA -MWAKA MMOJA.

Kisha aachiwe Huru, tuonane kama Huo Mwaka mmoja hamjamtosha kubadili Njia zake??.

Hivi nyinyi Mahakimu, Mnasoma Vyuo gani? Mbona mmejaa Usenge Mwingi sana?

Unamfungaje Mtu miaka 30 kisa Bangi, zao Biashara ambalo NCHI nyingine wamelihalalisha kama Kilimo halali cha Biashara na Zao linalotumika katika utengenezaji wa Dawa ?.

Yaan Unamfunga Kijana Miaka 30 Jela, wakati NCHI Jiran, Bangi ni zao la Fursa Uchumi kwa Vijana wao??.

Miaka 30 Jela ? Bangi Gramu 56?

Hii NCHI inahitaji Ukombozi , Hawa ndio Mahakimu uchwara, upuuzi, walosoma kwankuunga unga na kukalili, Wala Rushwa na wafanya maovu walokosa Hekima na Busara !!.

Pumbavu kabisa Hakimu ulotoa Hii hukumu, na ndio sababu mnakuaga na UZAO wa hovyovyo, mnazaa mitotot mijinga na mipunguani !.

Waliokosa na si waliokoswa,watu wa Kanda ya ziwa Victoria acheni huo ujinga wa 'waluokoswa'
 
Katika utoaji wa Hukumu; Hakimu anayetoa/andika hukumu huzingatia Sheria inasemaje endapo Mtuhumiwa amethibitika kufanya kosa husika.
Lakini bado kuna kutumia Busara na Hekima. Haiingii akilini eti kijana amekutwa na gramu 56 tu za bangi ahukumiwe sawa na mtu aliyebaka au aliye lawiti.
Huko ni kuharibu maisha ya mtu-kijana kwa kosa dogo kama vile.
 
Ni kijana wa hapa mtaani alikuwa kijana mwema kabisa akaenda chuo akapata Degree Kampuni moja kubwa ya Mawasiliano hapa Tz ikampa kazi ya Meneja wa tawi lao dogo lililopo Dodoma kipindi anapata kazi alikuwa na miaka 27,

kuanza kazi na kujumlisha mihemko ya kushika pesa nyingi akaanza starehe za wanawake na Bangi alijikuta amekuwa mraibu wa bangi mpaka kuna siku zikawa hafiki kazini kabisa anavuta mpka anakuwa kama mgonjwa kabisa kazini haendi na ruhusa haombi mara akienda kazini havai tena kiofisi anavaa anavyojisikia yeye akirekebishwa anajibu hovyo mixer kuvaa mirege,

Wakamvumilia ila ikafika kipindi mpka akaanza kuvutia bangi ofisini hapo wakamchoka na kumtimua kazini....stress za kukosa kazi mixer pesa hana akaanza kuuza vitu vyake vya thamani kisha anatumia kwenye bangi tu yeye hata kulewa alikuwa halewi ni bangi tena anaita wenzake kibao wanavuta hata watu 30 kwa pamoja,

Na vitu vya thamani vilivyomuishia stress plus bangi akajikuta amekuwa kichaa kabisa navyokwambia siku hizi anashinda majalalani,

Kuna wakti watu walimshika kwa nguvu wakampeleka mirembe akapata nafuu kabisa ila alivyoludi tu akaanza kuvuta tena Bangi na ndo hali imekuwa mbaya zaidi saivi hata kkumbuka watu tena hakumbuki kiufupi ni kichaa mazima.

NB: Bangi sio nzuri
ACHA UONGO!.
 
Kuna jamaa alivuita bangi bana asee akawa anampiga mamaa yake mzazi anachukua chupi za mama yake anazitundika mlangoni kama pazia aseee 😔
Hakuna walevi wakilewa wanafanya matukio?
Mbona wauza pombe hawakamatwi?
 
Sheria kwani imebadika?maana nachofahamu kua kesi kuanzia gram 250(robo kilo) ndio inaonekana kama drug dealing and trafficking..but sio hizo kete tatu
 
Huyo kafungwa kwa sababu hana pesa ya rushwa.Gramu hamsini si ni ganja ya kuvuta weekend tu.Akate rufaa na kuhonga baada ya miezi miwili anatoka.Nchi hii vikesi kama hivi ni hongo tu.
Tunashindwa na Africa kusini ukikamatwa na kiwango cha kuvuta unaachiwa?

Hivi gram 56 si ni bangi ya kuvuta?
 
Hata mimi nimeshangaa kwanini hajafungwa maisha. Muuza bangi sio wa kuonewa huruma. Familia nyingi zinalia vijana kuharibika kwa sababu ya hizo bangi. Kilio ni kikubwa nchi nzima. Huyo kahurumiwa sana.
Yaaani walichokiandika watu wenye akili ni tofaiti sana watu wanaongelea kesi ya bangi ww unaongelea Madhara ya bangi huoni umeongea tofauti sana tumia kichwa
 
Hakuna walevi wakilewa wanafanya matukio?
Mbona wauza pombe hawakamatwi?
Pombe na bangi ni vitu viwili tofauti mkuu ukikamatwa na bangi haijalishi wewe ni boss au mtumiaji wote mtawajibishwa
 
Sheria kwani imebadika?maana nachofahamu kua kesi kuanzia gram 250(robo kilo) ndio inaonekana kama drug dealing and trafficking..but sio hizo kete tatu
Kwa bangi kg 50 and above unakula maisha
Chini ya hapo miaka 30

Ova
 
Back
Top Bottom