Nchi ina wazee wawili tu kwa sasa?

Huyu Mzee Warioba alishauri serikali ya awamu ya tano akaishia kutukanwa kwa kuambiwa anawashwawashwa, naona wazee wanaamua kukaa kimya wakihofia mrejesho wa amiri jeshi mkuu.

Wametumikia nchi hii kwa kutoka jasho jingi wakiwa vijana wasingependa uzeeni waje kudhalilishwa na viongozi ambao kwanza ni wadogo kwao kiumri na pili wanapofushwa na hayo madaraka yanayodumu chini ya vipindi viwili vya miaka mitano mitano.
 
Yuko wapi Wasira πŸ™‚
 
Tayari Comment hii imeshawagawa watu 😳
πŸ˜‚πŸ˜€
Nchi hii watu hawawezi kuwa kitu kimoja katika madai yao kwa sababu ya comments kama hizi !
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜±
Nimesha vuruga watu ila ndio ukweli wenyewe , mara zote walizo shika waislamu hii nchi imeenda kombo sana wakristo ndio huwa wanakazi ya kuirejesha tena sawa na kusahihisha makosa.
 
Hapo ni mmoja tu mzee Warioba Butiku ni chawa kama hao wengine tu.
 
Hao wote wanatoka katika Mkoa wa Mara sehemu ambako watu huwa hawataki utani kwenye mambo ya msingi.
 
Naunga mkono hoja
P
 
Nadhani kuna mzee mmoja alikuwa mnyoofu ila sio muongeaji publicly, yuko firm etc, alipigwa puu paa enzi hizo za huyo mnayesema ana demokrasia kisa anacheka cheka kisha anatuma watu wasiohusika kukitibua....sijui ilikuaje mpaka mzee Nghuza akapata msahama baada yake; kwangu wazee wanaopaswa kuliponya taifa kwa sasa;
  • Warioba
  • Butiku
  • Salim
  • Agustino
  • Mwamunyange
  • Maria
  • Mongela(kama yupo)
  • Mangula
  • Pengo

Vijana wenye muelekeo;
  • Majaliwa wa Magu
  • Makonda wa Magufuli
  • Mpina wa kuanzia kwa Magu na wa sasa.
  • Ummy wa Magu
  • Biteko wa Magu

Halafu kuna hawa;
  • Jafo wa Magufuli
  • Mbarawa wa Magufuli
  • Hussein M wa Magufuli

Kiufupi, Msoga clan haina mtu; Kafulila na the like wamechafua upinzani, Zito ni lifisadi la kupindukia, tujaribu tusiowajua.
 
ulowataja mwanzo ni wanafiki,
katika uzee wao wanaweza kuleta mabadiliko gani kama sio wanataka kufanya wananchi misukule tu..

hajafanya chochote cha maana akiwa kijana mwenye afya na nguvu ete katika uzee ndiyo anataka mabadiliko?
huu si ushirikiana ndrugu zango?πŸ’
 
Usisahau si kila mtu mwenye courage ya kukosoa au ya kukemea !
Mtu mwenye Uwezo wa kukosoa na kukemea huwa ni mtu anayejiamini sana na huwa anafahamu ana majoriti ya sapoti kutoka kwa Wananchi !
 
W
apo pia Neutral hawana majina makubwa wala hawajawahi kuwa Serikalini wala Chamani Bali wana uwezo mkubwa wa kushawishi na kutolea majibu maswali magumu !
Lakini kwanza wahakikishiwe Usalama wao !! πŸ˜³πŸ™„πŸ™ŒπŸ‘
 
Hebu nipe ushahidi wa hilo kwa butiku na warioba enzi za magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…