Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wote kutoka Kanda ya Ziwa wanajitambua!!Kutokana na umri wao, uzoefu wao, na majukumu ya kitaifa waliyowahi kuwa nayo nchini, baadhi ya wastaafu wa kisiasa wana hadhi ya kutambulika kama wazee wa Taifa! Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, ni wazee wawili tu: Jaji Joseph Warioba na mzee Joseph Butiku ndiyo wamekuwa wakisikika wakishauri na kukemea pale wanapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo!
Wazee wengine wameenda wapi?
Yuko wapi J. M. Kikwete, Rais mstaafu ambaye kipindi chake demokrasia ilishamiri kuzidi vipindi vya watangulizi wake na hata vya waliomfuatia?
Yuko wapi Amani Abeid Karume, ambaye pamoja na "kukulia" ikulu, hakushikwa na ugonjwa wa uchu wa madaraka?
Yuko wapi Dr. Salim Ahmed Salim, mbobevu wa siasa za kitaifa na kimatiafa?
Yuko wapi Dr. John Samwel Malecela, mwanasiasa msomi nchini?
Yuko wapi David C. Msuya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania?
Yuko wapi Pius Msekwa, msomi aliyehudumu kwenye chama na Serikali kwa miaka mingi?
Yuko wapi Dr. Mohammed Gharib Bilal, Mwanafizikia makini aliyewahi kuwa makamu wa Rais wa JMT?
Yuko wapi Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu asiyekuwa na makando kando ya rushwa?
Wako wapi wazee wengine?
Wameamua kuwaachia jukumu la kushauri na kuonya mzee Butiku na Warioba, pamoja na baadhi ya viongozi wa dini kama Dr. Shoo, Dr. Benson Bagonza, Shehe Ponda, na Dr. Charles Kitima?
Wanaridhishwa na yanayoendelea nchini?
Pongezi kwa mzee Butiku na Jaji Warioba kwa kutambua nafasi zao na kuzitumia kiufasaha kwa maslahi ya Taifa. Wameonesha kwa vitendo kuwa utaifa ni wa muhimu zaidi kuliko vyama vyao vya kisiasa!
Hukuwatoto wao wanakula ajira kwenye sekta nyeti nyeti tuWazee wengine wanakula pension zao na wajukuu wao.
Sahihi kabisa!fedrick sumaye pia
Wamo, na wanajitahidi!Umemsahay Mzee Father Kitima na Dr Bagonza PhD
Unakosea mkuu!Uislam na uongozi ni vitu viwili tofauti
Kiongozi mzuri ni aliyestaafu! Huyo ndiye anayeweza kushauri vyema huku akitumia kama rejea makosa yake na ya wengine pamoja na mafanikio yake na ya wengine!ulowataja mwanzo ni wanafiki,
katika uzee wao wanaweza kuleta mabadiliko gani kama sio wanataka kufanya wananchi misukule tu..
hajafanya chochote cha maana akiwa kijana mwenye afya na nguvu ete katika uzee ndiyo anataka mabadiliko?
huu si ushirikiana ndrugu zango?🐒
SahihiUnakosea mkuu!
1. Kikwete ni Muislamu! Ingawa aliboronga katika maeneo mengine, lakini kwenye demokrasia mpaka sasa hakuna Rais aliyemfikia
2. Magufuli alikuwa Mkristo! Ingawa alifanikiwa katika mambo mengine, lakini kwenye demokrasia, huenda akawa ndiye Rais aliyefanya vibaya kuliko watangulizi wake wote
Dini haiamui ubora au udhaifu wa kiongozi, bali kiwango cha "kuelimika" kwake!
Wazee wengine wameenda wapi?
Mwanafunzi wa chuo kikuu Tanzania toka familia masikini anazama ktk mkondo wa madeni ya fedha za mkopo wa elimu ya juu huku akiwa anaimani na matumaini potofu ya Ilani ya CCM imeandika ahadi ya mambo ya uongo ya kupata ajira, mazingira ruhani kuwa wataweza kupata vyeo vya ulaji vya kisiasa UVCCM, kuwa MNEC Halmashauri Kuu ya CCM, mbunge wa CCM n.k au kuwepo mazingira (hewa) ya kujiajiri.Gabriel Boric on the Chilean Student Movement:
59,554Views :2017 14 Jun
In a presentation at the School of Public Policy on June 7, 2017; Gabriel Boric offers a historical perspective and reflects on lessons learned. He focuses especially on the role of social movements in a well-developed democracy and provides insights on how to sustain collective action over an extended period of time. He speaks also about his transition from being a member of a political movement to being a member of Parliament. Gabriel Boric is a Chilean parliamentarian, and a former leader of the national student movement. He was the president of the Student Federation of the Universidad de Chile, one of the most important student unions in the country. Boric currently represents the Magallanes and Antarctic Region in Chile’s Chamber of Deputies. He was elected as an independent candidate and is not associated with either one of the two political coalitions that have traditionally dominated politics in Chile. Source:
Department of Public Policy at CEU
Nakukumbusha hao wote wanakula kwa urefu wa kamba Acha kuwasumbuaKutokana na umri wao, uzoefu wao, na majukumu ya kitaifa waliyowahi kuwa nayo nchini, baadhi ya wastaafu wa kisiasa wana hadhi ya kutambulika kama wazee wa Taifa! Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, ni wazee wawili tu: Jaji Joseph Warioba na mzee Joseph Butiku ndiyo wamekuwa wakisikika wakishauri na kukemea pale wanapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo!
Wazee wengine wameenda wapi?
Yuko wapi J. M. Kikwete, Rais mstaafu ambaye kipindi chake demokrasia ilishamiri kuzidi vipindi vya watangulizi wake na hata vya waliomfuatia?
Yuko wapi Amani Abeid Karume, ambaye pamoja na "kukulia" ikulu, hakushikwa na ugonjwa wa uchu wa madaraka?
Yuko wapi Dr. Salim Ahmed Salim, mbobevu wa siasa za kitaifa na kimatiafa?
Yuko wapi Dr. John Samwel Malecela, mwanasiasa msomi nchini?
Yuko wapi David C. Msuya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania?
Yuko wapi Pius Msekwa, msomi aliyehudumu kwenye chama na Serikali kwa miaka mingi?
Yuko wapi Dr. Mohammed Gharib Bilal, Mwanafizikia makini aliyewahi kuwa makamu wa Rais wa JMT?
Yuko wapi Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu asiyekuwa na makando kando ya rushwa?
Wako wapi wazee wengine?
Wameamua kuwaachia jukumu la kushauri na kuonya mzee Butiku na Warioba, pamoja na baadhi ya viongozi wa dini kama Dr. Shoo, Dr. Benson Bagonza, Shehe Ponda, na Dr. Charles Kitima?
Wanaridhishwa na yanayoendelea nchini?
Pongezi kwa mzee Butiku na Jaji Warioba kwa kutambua nafasi zao na kuzitumia kiufasaha kwa maslahi ya Taifa. Wameonesha kwa vitendo kuwa utaifa ni wa muhimu zaidi kuliko vyama vyao vya kisiasa!
Ammada siyo shida zake yuko anakula vyombo Salim ni mgonjwaKutokana na umri wao, uzoefu wao, na majukumu ya kitaifa waliyowahi kuwa nayo nchini, baadhi ya wastaafu wa kisiasa wana hadhi ya kutambulika kama wazee wa Taifa! Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, ni wazee wawili tu: Jaji Joseph Warioba na mzee Joseph Butiku ndiyo wamekuwa wakisikika wakishauri na kukemea pale wanapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo!
Wazee wengine wameenda wapi?
Yuko wapi J. M. Kikwete, Rais mstaafu ambaye kipindi chake demokrasia ilishamiri kuzidi vipindi vya watangulizi wake na hata vya waliomfuatia?
Yuko wapi Amani Abeid Karume, ambaye pamoja na "kukulia" ikulu, hakushikwa na ugonjwa wa uchu wa madaraka?
Yuko wapi Dr. Salim Ahmed Salim, mbobevu wa siasa za kitaifa na kimatiafa?
Yuko wapi Dr. John Samwel Malecela, mwanasiasa msomi nchini?
Yuko wapi David C. Msuya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania?
Yuko wapi Pius Msekwa, msomi aliyehudumu kwenye chama na Serikali kwa miaka mingi?
Yuko wapi Dr. Mohammed Gharib Bilal, Mwanafizikia makini aliyewahi kuwa makamu wa Rais wa JMT?
Yuko wapi Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu asiyekuwa na makando kando ya rushwa?
Wako wapi wazee wengine?
Wameamua kuwaachia jukumu la kushauri na kuonya mzee Butiku na Warioba, pamoja na baadhi ya viongozi wa dini kama Dr. Shoo, Dr. Benson Bagonza, Shehe Ponda, na Dr. Charles Kitima?
Wanaridhishwa na yanayoendelea nchini?
Pongezi kwa mzee Butiku na Jaji Warioba kwa kutambua nafasi zao na kuzitumia kiufasaha kwa maslahi ya Taifa. Wameonesha kwa vitendo kuwa utaifa ni wa muhimu zaidi kuliko vyama vyao vya kisiasa!
Nimewazingatia zaidi wastaafu walioshika nafasi kubwa kitaifa, hasa Urais, Umakamu wa Rais, Uwaziri Mkuu, Uspika, Ujaji Mkuu, n.k.Mbona umemsahau Wasira, mzee wetu yupo toka enzi za Mwalimu😏
Hajafanya nini pumbavu??Mtu amewahi kuwa Makamu wa Rais kipindi cha Mwinyi na ndiyo wakati demokrasia ilipozaliwa Tanzania.Amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania,je wewe umewahi kuwa nani Tanzania zaidi ya kuwa chawa wa Mama Samiah?ulowataja mwanzo ni wanafiki,
katika uzee wao wanaweza kuleta mabadiliko gani kama sio wanataka kufanya wananchi misukule tu..
hajafanya chochote cha maana akiwa kijana mwenye afya na nguvu ete katika uzee ndiyo anataka mabadiliko?
huu si ushirikiana ndrugu zango?🐒
Gentleman,Hajafanya nini pumbavu??Mtu amewahi kuwa Makamu wa Rais kipindi cha Mwinyi na ndiyo wakati demokrasia ilipozaliwa Tanzania.Amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania,je wewe umewahi kuwa nani Tanzania zaidi ya kuwa chawa wa Mama Samiah?
Hivi hakuna wakubwa kwenu?Gentleman,
kwani alisahau kufanya nini akiwa kwenye hizo nafasi serikalini, hata aanze kuwa na mawenge na mbwelambwela mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kama sio wivu uzeeni?
Najivunia kua mtumishi makini wa wananchi, mchapakazi, mtiifu na mnyenyekevu kwa chama, serikali na kwa waTanzania wote.
Na wala siringi, sijivuni wala kujivunga kusema ukweli kwamba Mzee huyo ni useless na anayozungumza ni nonsense 🐒