Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ni Mzee ambae amewahi kua kiongozi wa Kitaifa nchi hii lakini hakuwahi kufanya lolote la maana,Hivi hakuna wakubwa kwenu?
Ulilelewa na watu wazima au ulijilea mwenyewe?
Wewe ni mtu wa kumtukana mzee Warioba?
Kama huoni mchango wake katika taifa hili, basi mheshimu kwa sababu ya umri wake!
Epuka laana ya kutukana wazee wastaarabu kama Warioba!
hata hivyo anaheshimika sana, na nadhan bado tutaendelea kumuheshimu sana,
Jambo la maana zaid kama taifa,
kwa heshima yake tunafaa kumpuuza kwa kumbwelambwela kwake kwa niaba ya upinzani..
Hili tulifanye kwa pamoja na kwa bidii sana ili iwe fundisho na aache unafiki..
Na zaidi sana,
ashauriwe tu kwamba asikimbie wajibu wake mkubwa wa kulea na kucheza na wajukuu nyumbani,
aache gubu na mawenge dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan 🐒