Nchi ina wazee wawili tu kwa sasa?

ni Mzee ambae amewahi kua kiongozi wa Kitaifa nchi hii lakini hakuwahi kufanya lolote la maana,
hata hivyo anaheshimika sana, na nadhan bado tutaendelea kumuheshimu sana,

Jambo la maana zaid kama taifa,
kwa heshima yake tunafaa kumpuuza kwa kumbwelambwela kwake kwa niaba ya upinzani..
Hili tulifanye kwa pamoja na kwa bidii sana ili iwe fundisho na aache unafiki..

Na zaidi sana,
ashauriwe tu kwamba asikimbie wajibu wake mkubwa wa kulea na kucheza na wajukuu nyumbani,

aache gubu na mawenge dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Maelezo yako yananifanya nihisi kuwa:
1. Huenda una umri mdogo sana hivyo humfahamu Mzee Warioba zaidi ya ulivyohadithiwa na wenzako mkiwa mnachunga mbuzi, ama
2. Una Elimu ndogo sana iliyopelekea uelewa wako pia uwe finyu,
3. Na kama una hizo sifa hapo juu hustahili kulaumiwa.
 
gentleman,
suala hapa sio umri, kuchunga mbuzi wala elimu,

Jambo la maana zaid ni kumpuuza huyu Mzee mwe mwenye gubu na makasiriko ya uzeeni dhidi ya serikali sikivu ya CCM iliyoko chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan.

kwani amesahau nini huko serikalilini na alikuepo kwa zaid ya miaka 20?

mawenge ni ya nini serikali iko kazini kuwafanyia kazi waTanzania na kuwapelekea wananch maendeleo?

Naendelea kusisitiza,
kwa heshma kubwa huyu Mzee apuuzwa ili asijiskie vibaya πŸ’
 
Wajinga, wapumbavu na waliojikinai watampuuza kama ilivyo kawaida yao, lakini wenye akili wameyachukua aliyoyaasa mzee.
 
Wajinga, wapumbavu na waliojikinai watampuuza kama ilivyo kawaida yao, lakini wenye akili wameyachukua aliyoyaasa mzee.
ni muhimu sana kwakweli akapuuzwa kwasasabu ana mawenge mno πŸ’
 
ni muhimu sana kwakweli akapuuzwa kwasasabu ana mawenge mno πŸ’
Tatizo la "kichaa" ni kwamba yeye huona watu wote hawana akili isipokuwa yeye tu!

Hivi kati ya Msomi, Jaji Warioba aliyeongea kwa hoja na wewe nani ana "wenge"?
 
Wewe huna lolote zaidi ya uchawa.
 
Tatizo la "kichaa" ni kwamba yeye huona watu wote hawana akili isipokuwa yeye tu!

Hivi kati ya Msomi, Jaji Warioba aliyeongea kwa hoja na wewe nani ana "wenge"?
kwanza yule sio jaji kitaaluma, ule ujaji ni a.k.a tu alipewaga mtaani kwake, na pia huyo Mzee mwenye mawenge na gubu, sio msomi kama ambavyo unaojaribu kupotosha wadau.

muhimu hapa kama taifa ni kuepuka kubabaika nae licha ya kwamba chuki na makasiriko yake dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania , kinavuka mipaka πŸ’
 
Aliyekufundisha uongo alisahau kukupa mbinu za kudanganya.

Ni vigumu kuwadanganya watu wenye akili kwa mbinu unazotumia kudanganya.
 
Aliyekufundisha uongo alisahau kukupa mbinu za kudanganya.

Ni vigumu kuwadanganya watu wenye akili kwa mbinu unazotumia kudanganya.
sina haja wala sababu hata moja ya kudanganya wadau muhimu sana humu jukwaani,

kanuni yangu tangu nimejiunga humu JF mwaka moja na nusu ulopita, huwa ni kusema ukweli hadharani bila aibu wala kificho πŸ’
 
Ikiwa Kikwete, Mwinyi, Nyerere, Magufuli, Mkapa, Samia, n.k. walitambua kuwa Warioba ni Jaji makini wewe from nowhere ni nani hata uhoji Ujaji wa Jaji Warioba?
 
Ikiwa Kikwete, Mwinyi, Nyerere, Magufuli, Mkapa, Samia, n.k. walitambua kuwa Warioba ni Jaji makini wewe from nowhere ni nani hata uhoji Ujaji wa Jaji Warioba?
alikua jaji wa Mahakama ipi gentleman?

au aliwahi kua kwenye jopo la majaji gani nchi hii?

hilo la ujaji kwake ni a.k.a tu gentleman πŸ’
 
alikua jaji wa Mahakama ipi gentleman?

au aliwahi kua kwenye jopo la majaji gani nchi hii?

hilo la ujaji kwake ni a.k.a tu gentleman πŸ’
Yeye kuwa Jaji au kutokuwa Jaji kunahusianaje na hoja zake?
 
Kama ilivyo kwenye ngazi za kiutawala ndivyo ilivyo hadi ngazi ya familia na jamii wazee wamekaa kanfo hawataki kujihusisha na jukumu lao kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…