Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Dec 6, 2024 #81 GoldDhahabu said: Kama uliishia darasa la pili ni vigumu kuzing'amua hoja zake! Click to expand... gentleman, binafsi siwezi hata kwa sekunde moja kudeal na makasiriko ya mtu yeyote π
GoldDhahabu said: Kama uliishia darasa la pili ni vigumu kuzing'amua hoja zake! Click to expand... gentleman, binafsi siwezi hata kwa sekunde moja kudeal na makasiriko ya mtu yeyote π
Citizen_37 JF-Expert Member Joined Jun 29, 2023 Posts 957 Reaction score 1,124 Dec 7, 2024 #82 WALOLA VUNZYA said: Hao wote wanatoka katika Mkoa wa Mara sehemu ambako watu huwa hawataki utani kwenye mambo ya msingi. Click to expand... Na Wasira anatoka mkoa gani? π€£
WALOLA VUNZYA said: Hao wote wanatoka katika Mkoa wa Mara sehemu ambako watu huwa hawataki utani kwenye mambo ya msingi. Click to expand... Na Wasira anatoka mkoa gani? π€£
T Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 3,506 Reaction score 6,305 Dec 7, 2024 #83 Tangu lini aliyeshiba akamsemea mwenye njaa,tupambane na hali yetu
W WALOLA VUNZYA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 7,154 Reaction score 7,155 Dec 7, 2024 #84 Citizen_37 said: Na Wasira anatoka mkoa gani? π€£ Click to expand... Mkoa wa Mara ila yeye sura yake imemfanya awe mkatili.
Citizen_37 said: Na Wasira anatoka mkoa gani? π€£ Click to expand... Mkoa wa Mara ila yeye sura yake imemfanya awe mkatili.