Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Kila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye division one anaweza kufikiria VETA at first place.
Mbona hatumuoni mtoto wa Mwigulu, Samia au waziri yeyote aliyeko VETA kama ni elimu ya maana kweli?
Acheni kuwafanya watoto wa masikini mazwazwa hakuna nchi inayoongozwa na mtu aliyemaliza VETA. Acheni kutudanganya.