Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Type of FuvuAcha ujinga..unashauri watu wasisome?
Mkuu acha makasiriko! VETA wanafundisha skills ukitoka ukajitegemee kwa fani uliyosomea! siyo hayo mashokoro mageni ya kutawala na kutawaliwa.Kila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye divisione one anaweza kufikiria VETA at first place.
Mbona hatumuoni mtoto wa mwigulu, Samia au waziri yeyote aliyeko veta kamq ni elimu ya maana kweli?
Acheni kuwafanya watoto wa masikini mazwazwa hakuna nchi inayoongozwa na mtu aliyemaliza VETA. Acheni kutudanganya.
Kwahiyo watoto wa viongozi HAWAZI TAKI HIZO SKILLS?Wanaosoma veta wengi wao
Wakimaliza wanaweza kukabiliana
Na maisha ya uraiani...
Wengi wao wanakuwa skills
Ova
Mgawanyo wa kazi mkuu! Hatuwezi wote kufanya kazi moja. Itoshe kusema hata watoto wa Viongozi siyo wote ni viongozi na maji siyo lazima yafuate mkondo.!!Kwahiyo watoto wa viongozi HAWAZI TAKI HIZO SKILLS?
#YNWA
Mgawanyo wa kazi mkuu! Hatuwezi wote kufanya kazi moja. Itoshe kusema hata watoto wa Viongozi siyo wote ni viongozi na maji siyo lazima yafuate mkondo.!!
Tunda pori leta hoja zako.AΔca porojo zako.
VETA ni nini?Kila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye divisione one anaweza kufikiria VETA at first place.
Mbona hatumuoni mtoto wa mMwigulu, Samia au waziri yeyote aliyeko VETA kamq ni elimu ya maana kweli?
Acheni kuwafanya watoto wa masikini mazwazwa hakuna nchi inayoongozwa na mtu aliyemaliza VETA. Acheni kutudanganya.
Mafundi waliopo Wana Nini?
Mwaka 2030 Kila nyumba itakuwa na fudi. Wataziba pancha ya trekta Kwa buku
Na mwaka huo hiyo buku utaweza nunulia pipi tu( utapata ujuzi wa kujikimu na sio kukomboa maisha yako)Mafundi waliopo Wana Nini?
Mwaka 2030 Kila nyumba itakuwa na fudi. Wataziba pancha ya trekta Kwa buku
Huyo mwenye trekta atazibiwa na aliesomea hiyo fani. By the way, why trekta?Mafundi waliopo Wana Nini?
Mwaka 2030 Kila nyumba itakuwa na fudi. Wataziba pancha ya trekta Kwa buku
Upo sawa, hawa wapo vizuri kwenye Skills pamoja na mengineyo, siyo kila kitu degree!!!Nchi hatuelewi tu napenda mfumo veta Japan au Ujerumani
Viongozi washausoma upepo wakaona kwamba tatizo la vijana kukosa ajira ni changamoto kubwa mno kwa graduatesKila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye divisione one anaweza kufikiria VETA at first place.
Mbona hatumuoni mtoto wa mMwigulu, Samia au waziri yeyote aliyeko VETA kamq ni elimu ya maana kweli?
Acheni kuwafanya watoto wa masikini mazwazwa hakuna nchi inayoongozwa na mtu aliyemaliza VETA. Acheni kutudanganya.
Ila wanasoma vyuo ni kupata Kazi za course zaoMgawanyo wa kazi mkuu! Hatuwezi wote kufanya kazi moja. Itoshe kusema hata watoto wa Viongozi siyo wote ni viongozi na maji siyo lazima yafuate mkondo.!!
Mtu akianzia VETA mpaka aje apate degree ni ana miaka 50, watoto wa vigogo miaka 23 ana mastersKila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye divisione one anaweza kufikiria VETA at first place.