britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
InasikitishaAcha tu leo nimelia sana nikiangalia jinsi hela mtaani hakuna watu tunagombea mia mbili afu dogo tu hata haja balehe anatuonyeshea dole la kati.
Mbona kuna mapango, miti, wanyama, mizizi na matunda ya msituni?Kuna watu wako huko vijijini hawana hata Pa kulala, kula enyewe ya labda,
Moderators nao siku tukiikomboa hii nchi wawajibishwe, kufuta Uzi kama huu ni kuunga mkono ujinga unaoendeleaModerator huu uzi udumu usiufanye kama ule wa kwanza, nchi inaliwa hii, magufuli alisema inachezewa sasa hivi inapigwa kote kote.
Nasema hili kwa herufii kubwa ni Washamba na malofa na wenye ulimbukeni kukosa exposure na elimu DUNI na malezi dunii pekee ndipo mtoto huweza kufanya ivyooo mtoto mwenye akili timamu huwezi mkuta akifanya saga za kijinga jinga kama hizo.Watoto wa Mkuu wa Usalama wa Taifa wakiwa wana enjoy matunda ya watanzania wasio na uchumi sahihi,
Wanaonesha madolali na kutambia watanzania Wengine
Nimekumbuka ilikuwa asubuhi tarehe 17/02/2025 nikakutana na mtoto wa mstaafu fulan ambaye aliwahi zushiwa kuwekwa kuzuizini
Aliniambia hivi “Magufuli alikuwa dikteta na mwenye hulka ya ujuaji bila kusikiliza Wengine ila hakuwa na Ujinga na Ubadhilifu Kama tunaopitia” akaendelea kwamba Naona wapuuzi na wajinga wajinga wame rudi kwa kasi sana mitandaoni wanashabikia wasiyoyajua” mpaka tunaongea kuna Pesa ya mkurugenzi wa Kitengo fulan ***** iko Seychelles na Maldavies, nikashangaa, akaongeza kwamba amenunua hisa kwa majina ya watu kadhaa kwenye DSE na BONds, Majina aliyataja nikaona kuna ukweli, anaendelea kueleza kwamba pamoja ni Hiyo si yeye tu alipewa 6B alafu Mwingine Mkuu wale Mbwa wakakamavu amepewa 1B ( wale wa tumelikamata lijambazi)
Hela hii ni kwa ajili ya kuhakikisha hakuna maguu ya mtu yeyote kukanyaga barabarani kudai haki lazima wasilibwe!
Mpaka sasa tunaongea wakuu wa idara kadha wa kadha hawafanyi kazi kwa ufanisi walk bali wa maelekezo ya boss wao
Britanicca
Kabisa, inasemekana wanaficha nchi za watu huko ughaibuni, kwa hiyo kikinuka hapa wanakimbia tu chap. Hizo za kupigia picha unazoziona wewe ni za matumizi madogo madogo ya mboga. Wewe umewekeza milioni moja sio?Siku wakifa wazikwe na Madolali yao wakamtambie Magufuli...Hiiiiiiiiiiiiiiiiiii !!!!!!
Sasa hivi akili imeanza kuwakaa sawa maana tushafungiwa kwa pamoja bila kujali moderator wala member.Moderators nao siku tukiikomboa hii nchi wawajibishwe, kufuta Uzi kama huu ni kuunga mkono ujinga unaoendelea
Wanapigwa vita mno na Hapa la wanajitahidi sana yan KwakuwaModerators nao siku tukiikomboa hii nchi wawajibishwe, kufuta Uzi kama huu ni kuunga mkono ujinga unaoendelea