Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Hawana kauli kwa wakubwa zaoHawa wanaowarusha kichura ukiingia 18 zao?
Leo eti nyumba zao zinakodishwa na wao hawana mahali, kweli?
Wawarushe magorofani sasa waingie wao
Wanachomana wenyewe kwa wenyeweJeshi la Wananchi shida ipo wapi hata hospital za Jeshi tunatibiwa Wananchi ingekua wanapangishwa Wageni hapo ndio pana shida wacha Watanzania wale matunda ya Nchi yao.
Halafu ndio tunawategemea mjueHawana kauli kwa wakubwa zao
Una akili timamu kweli?Jeshi la Wananchi shida ipo wapi hata hospital za Jeshi tunatibiwa Wananchi ingekua wanapangishwa Wageni hapo ndio pana shida wacha Watanzania wale matunda ya Nchi yao.
"Hivyo ni vi-drama tu lakini kazi nimeiweza". Credit: HuihuiHaya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia.
Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi.
Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza.
Wanajeshi Hawana nyumba, nyumba zao zinapangishwa kwa raia
Duuh! Nimeishi hapo Mwenge magorofani miaka ya 2000 aisee sasa mapoti imekuaje wanapangishaHaya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia.
Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi.
Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza.
Wanajeshi Hawana nyumba, nyumba zao zinapangishwa kwa raia
Tuliza makalio fanya mambo yako. Huo ni umbeaHaya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia.
Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi.
Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza.
Wanajeshi Hawana nyumba, nyumba zao zinapangishwa kwa raia
We ndio una mavi kichwani, kuna nyumba ya kuishi bure? Nyumba ya bure ni ya kwako tu bwanamdogo.Una akili timamu kweli?
Kama issue ni kuleta matunda kwa Watanzania kwanini wasikae bure?
Pesa inalipwa kwa control number?
Kama hailipwi kwa control number maana yake hiyo pesa inakwenda kwa watu wachache na serikali hainufaiki.
Kama wanaopangishwa ni raia shida iko wapi?Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia.
Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi.
Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza.
Wanajeshi Hawana nyumba, nyumba zao zinapangishwa kwa raia
MmmmhHaya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia.
Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi.
Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza.
Wanajeshi Hawana nyumba, nyumba zao zinapangishwa kwa raia
Shida nini mkuu, mbona hospitali za jeshi wanatibiwa mpaka raia?Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia.
Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi.
Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza.
Wanajeshi Hawana nyumba, nyumba zao zinapangishwa kwa raia
Umbea ni ukweli mahali sio sahihiTuliza makalio fanya mambo yako. Huo ni umbea