Nchi inapigwa sana hii, maghorofa ya Jeshi Mwenge, yanapangishwa kwa raia

Nchi inapigwa sana hii, maghorofa ya Jeshi Mwenge, yanapangishwa kwa raia

Maajabu yapo hapa .........wakati ziko kama batiki rangi hazieleweki yapo kama magofu walikuwa wanaishi wazalendo walinda inchi........yalivyotengenezwa tu wahuni wamepangisha wazalendo mtalala kwenye mpaka ya inchi sio maghorofa.............shut upppppppppppp
 
hii tabia ya jeshi kumiliki maeneo na biashara siiwafiki kabisa, inasababisha mno upigaji kwenye jishi.
 
Soon wata pangisha bunduki. CHURA ajui.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia.

Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi.

Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza.

Wanajeshi Hawana nyumba, nyumba zao zinapangishwa kwa raia
Hapa sichangii chochote maana......
 
Kwani shida iko wapi kupangisha nyumba niliyopewa nikachukua kodi na kupanga sehemu nyingine??
 
Back
Top Bottom