Ndio panavyoitwa mkuu, nimeishi huko pale karibu na hospital ya Marie Stops, jirani na mawingu ya kusaga ilipoanziaDuuh
Yaelekea hizo ni kamba za watu ambao wanakula kwa urefu wa kamba hizo.Ukipata nafasi ya kula wewe kula tu
Hapa sichangii chochote maana......Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia.
Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi.
Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza.
Wanajeshi Hawana nyumba, nyumba zao zinapangishwa kwa raia