Nchi inapochafuka Amani inatakiwa kutangulia ndipo ifuate HAKI

Tusingefika huko kama haki ingeheshimiwa. Mbona mnakuwa wapumbavu hadi mnatuharibia siku?
 
Nimeishia 4.

Hata kwenye vita ukianza kutenda haki vitainasimama.

Inabidi ufahamu amani ilitoweka baada ya haki za watu kuvunjwa.

Hivyo ni lazima the reverse ifanyike hapo. Rejesha haki uone kama amani haitarejea.

Hizo siasa zako za kutaka amani ianze ndo haki ianze kutolewa hakuna atakaye kuamini.

Naamini umejichanganya mtibeli bado ninaimani na wewe.
 
Nini kilichochafua, je kabla ya kuchafuka, hakukuwa na amani, je amani ikirudi kuna uhakika gani wa haki, hali wakati hakujaharibika amani ilikuwepo na haki IKAFINYIWA KWA NDANI
 
Pakitulia wakati hakuna haki, tunaita utulivu. Yaani watu wamepoa wakisubiri mustakabali wa haki itendeke ili utulivu wa kudumu (amani) upatikane.
Amani ni tunda la haki.
 
Watu wanaacha kupambana wakihsi kupewa au kutendewa haki. Kisha amani hupatikana baada ya kuacha mapambano.
Mtu hawezi kupata amani au kuleta amani endapo anaendelea kupambana.
Haki kwanza kisha amani hufuatia kama zao la haki.
 
"Si vis pacem, para bellum"

"If you want peace, prepare for war"

Romans Say
 
Amani utaipata vipi kwenye machafuko kama hukuwapa haki yao wanaokichafua?
 
Kwa hiyo mnamaanisha mama yake pole pole awe na amani , huku mwanae hajulikani alipo 😂 Mnataka watoto wa mzee kibao wawe na amani kuhusu kifo cha baba yao na kuuwawa kikatili ndo wapewe haki 😂 au mnataka watu wawe na amani baada ya kuambiwa nguvu iliyotumika ni sahihi na walikua wapi kuwazuia watoto wao wasiandamane.

Zamu hii mjue mmeyazua makubwa msichukulie poa jamani , hatufurahii yanayoendelea, ila hii style ya kuharibu halafu mkaleta mchezo wa kitoto wa compare and contrast inazidi kuwadidimiza, na ile style ya kuhisi watanganyika ni wasahaulifu na hawana madhara ni mbaya sana mmesahau kula na kipofu wanetu

Huenda sio leo, ujue watu wengi tunapigia picha ya hapa karibuni ila kuna siku litatuzidia tutajikuta sehemu nzuri au mbaya

Chama tawala inabidi kije na mbinu za maana ziwe za kueleweka yaan wasisubiri kutetewa na machawa na watu baki na kuzua viscandal vya kitoto , utapoteza wangapi ? Utafunga wangapi ? Utabishana na wangapi ?

Tuwaambie tu ukweli hiki kizazi kinaogopa ndoa tu 😂

Hivi kweli matatizo kama haya yanatokea Dubwasha kubwa kama CCM linazima mizozo kwa kuanzisha scandal eti hapendwi kwa ajili ya dini yake , eti hapendwi kwa ajili jinsia , mara kuna dini zilikua hazilipi kodi kawabana wameamua wamseme vibaya. Yaan unaangalia chama chenye wanachama wengi Africa CCM iko top 3 sasa inakuaje tena.

Hebu kaeni tena bhana muangalie hili wanetu
 
Kelele nyingiii lakini chanzo cha nchi kuchafuka ni kukosa Haki na sio kukosa amani, Rudisha Haki Mahali pakeee . Kelele zingine zote hazina maana
 
Mjomba kakojoe ukalale. Tunadeal na root cause
 
Katika situation ya nchi yetu amani haijapotea, kilichopotea ni HAKI.

Ndiyo maana unaona watu wanapiga kelele haki isiachwe nyuma.
Haki gani imepotea kiasi cha watu kwenda kuchoma moto miundombinu na mali za watu?
 
Kelele nyingiii lakini chanzo cha nchi kuchafuka ni kukosa Haki na sio kukosa amani, Rudisha Haki Mahali pakeee . Kelele zingine zote hazina maana
Haki gani imepotea kiasi cha watu kwenda kuchoma moto miundombinu na mali za watu?
 
Opportunist katik ubora wako....kati ya kinga na tiba nini bora?tuanzie hapo kwanza
 
Nini kilipelekea mpka watu wakafika huko?ni amana ilikosekana au haki?akili za ki uvccm utazijua tu
 
sahihi AMANI NDO ZAO LA HAKI HAUWEZI KUDAI HAKI KWENYE MACHAFUKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…