Nchi inapochafuka Amani inatakiwa kutangulia ndipo ifuate HAKI

we jamaa una akili sana umewaza kitaalamu hasa hapo katika kuvamia na kushambulia .

hawatakuelewa ila that is fact
 


Hakuna Amani bila HAKI
 
Nenda kwa familia ya Mdude, Mzee Kibao, Soka na Polepole waambie masuala ya amani nadhani utapata majibu mazuri.
 
nadhani ni muhimu sana,
kwa yule anaekusudia kuvuruga au kuchafua amani, daima haki yake ni kuvurugwa na kurestishwa in peace bila kucheleweshwa, kuonewa huruma wala kuonewa haya
 
Hivi hua jf inalipa watu kama YouTube nini maana naona watu wanatenga mda wa kuandika magazeti.
 
nadhani ni muhimu sana,
kwa yule anaekusudia kuvuruga au kuchafua amani, daima haki yake ni kuvurugwa na kurestishwa in peace bila kucheleweshwa, kuonewa huruma wala kuonewa haya

Sheria zifuatwe.
Ukivunja Sheria unatengeneza na kuwapa uhalali wengine kuivunja Sheria
 
Tusijifiche kwenye kichaka cha amani. Amani isiwe kigezo cha kuteka, kuua na kukandamiza wengine wakati kundi dogo la watu linafaidi rasilimali za Nchi.
 
Haki ikishapotea Amani hakuna. Unazungumzia utulivu.
Utulivu ni sehemu ya vipengele vya Amani lakini sehemu tulivu haimaanishi kuna Amani.
You are really dumb ++! Haki ni asili ya binadamu wote iko kwenye DNA. Nothing compensate ''haki''. Amani ni tunda la haki. Huwezi kupata amani bila haki. Tanzania nchi haijachafuka kama unavyodhani wewe. Tanzania Samia na kundi lake walifanya mauaji. Kinachotakiwa sasa hivi ni haki ya pande zote i.e. waliopotzea ndugu zao wafidiwe na waliotoa amri ya mauaji na waliotekeleza wapate haki yao. Hata nchi inapokuwa kwenye vita, wakitaka kusuluhishwa jambo la kwanza ni kusitisha mapigano kwa muda na kukaa ili kila mmoja apate haki yake. Ile kusitisha mapigano kwa muda siyo ''amani''. Amani itapatikana baada ya haki kutendeka na pande zote kuridhika.
 
nadhani ni muhimu sana,
kwa yule anaekusudia kuvuruga au kuchafua amani, daima haki yake ni kuvurugwa na kurestishwa in peace bila kucheleweshwa, kuonewa huruma wala kuonewa haya
Careful,angalia wasianze na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…