MAGAMBA MATATU
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 646
- 1,199
Nilipokuwa shule nilisoma kitabu kimoja kinaitwa NCHI YA KUSADIKIKA
Nilijitahidi sana kukisoma kile kitabu lakini sikuwahi kukielewa vizur kilikua na maana gani, na nilijitahidi sana kukisoma ili baadae niweze kutumia maudhui yake katika kujibu moja ya swali la mtihani ambalo ningekutana nalo, lakini sikuwahi kukielewa kile kitabu hata siku mona kuwa kilikua kina tafsiri nini??
Niliwahi kusema kuwa baada ya utawala wa awamu ya nne basi nchi ya Tanzania itatawaliwa kidictator na sina imani kama ilitokea au haikutokea
Ila wiki mbili zilizopita nilisema mama yetu ameingizwa mkenge na washauri wake bila yeye kufahamu, na mara nyingi utawala wa nchi yoyote ni mfumo na ndani ya mfumo kuna watii wa kweli na watii wa uongo, japo watii wa uongo kwa sura ndio wanakua wa kwanza kukupamba maneno matamu na kukushauri zaidi kuliko watii wa kweli
Mama aliingizwa mkenge kubadili baadhi ya mawaziri na aliingizwa mkenge na sasa nguvu ya mfumo kwake imelegea na hatimae magenge yameingiza watu wake kwa lengo la baadae bila mama kujua, leo mfumo umeanza kugawanyika bila yeye kufahamu kwanini unagawanyika, kuna wanaomwambia anaipoteza nchi na hatimae nchi itauzwa, kuna wanaomwambia anakopa bila sababu za msingi, kuna wanaoongoza nchi wakiwa nyumban huku yeye hajui
Nilisema mwaka 2024 nitatoa mwelekeo sahihi wa kijacho ndani ya nchi hii