Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

Nilipokuwa shule nilisoma kitabu kimoja kinaitwa NCHI YA KUSADIKIKA,,

Nilijitahid sana kukisoma kile kitabu lakin sikuwahi kukielewa vizur kilikua na maana gani,,na nilijitahid sana kukikosma ili baadae niweze kutumia maudhui yake katika kujibu moja ya swali la mtihani ambalo ningekutana nalo,,lakin sikuwahi kukielewa kile kitabu hata siku mona kuwa kilikua kina tafsiri nini??

Niliwahi kusema kuwa baada ya utawala wa awamu ya nne basi nchi ya Tanzania itatawaliwa kidictator na sina imani kama ilitokea au haikutokea ..

Ila wiki mbili zilizopita nilisema mama yetu ameingizwa mkenge na washauri wake bila yeye kufahamu,,na mara nyingi utawala wa nchi yoyote ni mfumo,,na ndani ya mfumo kuna watii wa kweli na watii wa uongo,,japo watii wa uongo kwa sura ndio wanakua wa kwanza kukupamba maneno matamu na kukushaur zaid kuliko watii wa kweli,,,

Mama aliingizwa mkenge kubadili baadhi ya mawazir na aliingizwa mkenge na sasa nguvu ya mfumo kwake imelegea na hatimae magenge yameingiza watu wake kwa lengo la baadae bila mama kujua,,leo mfumo umeanza kugawanyika bila yeye kufaham kwann unagawanyika,,kuna wanaomwambia anaipoteza nchi na hatimae nchi itauzwa,,kuna wanaomwambia anakopa bila sababu za msingi,kuna wanaoongoza nchi wakiwa nyumban huku yeye hajui,,

Nilisema mwaka 2024 nitatoa mwelekeo sahihi wa kijacho ndani ya nchi hii,,,

Ninesikiliza leo Rais... Nimethibisha pasi na shaka ana watu wachache wanaomsaidia kwa dhati ameandika hotuba ya kuuchamba muhimili wa nchi... Ninalisubiri bunge la kwa hamu... Kwa mara ya kwanza tunaweza tukawa na Serikali isiyo na support bungeni
 
Hivi mkuu unakumbuka ile thread yako uliyo tabir magufuli kuwa rais wa tz??
Naomba utuwekee hapa
 
Unaposema“kaingizwa mkenge“ unamaanisha nini ? Kwamba hajui kinachoendelea ?
Kwamba hajui hatuna umeme wala maji?

Acheni kudanganya watu, kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa kiende, ulishajiuliza kwa nini Upinzani uko na Samia kwenye kila kitu? Uliona wapi Dunia hii Opposition parties wanakubaliana na Serikali kwa 100% ? Kwa nini sasa wanaitwa Opposition wana oppose nini ?
Hawa watu huwa sielewi wanataka nini?
 
Ni sawa na kile chama kinachoongozwa na yule mzungu baharia amstedam akishirikiana na lile tundu la kisu. Akisema mashoga waachwe wafanye ushenzi wao chama kinatoa tamko la kupinga oparation ya mashoga, akisema mwenyekiti wa chama hicho aendelee kukaa jela ili apate ya kuongea kwa mahabaria wenzake chama kinatoa tamko kuwa mwenyekiti wao asiachiwe na wala usiombwe msamaha wowote kwa yule anaetaka kumuachia, akisema wapambe na wanachama wa chama anachodhamini waingie barabarani kutaka sheria ya ndoa za mashoga basi chama kinaanza kupambana na serikali ili ipitishe haki na sheria za mashoga kufunga ndoa. Hapo sijazungumzia uuzaji wa madawa nk. Yani chama kipo Tanzania lkn muongozaji wa sera za chama yupo Ulaya. So kwa nchi hii ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.
You missed the point big time.
 
Solution ni nini?
mimi ninayo
Ni way Aliyepo Aleftishwe kwa manufaa ya Umma.

2025 turudi tena under strongly dictatorship.
Ufumbuzi ni kutoa battery za remote, itabidi badala ya kukaa kwenye kochi ukisinzia uamuke kwenda kuwasha, kuzima na kubadili channel. Kama hutatoa battery, basi remote chapa mzoga itazidi kufanya kazi zake huko kwenye runinga, huku mwenyewe ukiwa unaupiga mwingi kwenye sofa sebuleni.
 
Unaposema“kaingizwa mkenge“ unamaanisha nini ? Kwamba hajui kinachoendelea ?
Kwamba hajui hatuna umeme wala maji?

Acheni kudanganya watu, kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa kiende, ulishajiuliza kwa nini Upinzani uko na Samia kwenye kila kitu? Uliona wapi Dunia hii Opposition parties wanakubaliana na Serikali kwa 100% ? Kwa nini sasa wanaitwa Opposition wana oppose nini ?
Upinzani gani unaouongelea hapa? Wa Zitto ambao ni washirika wa CCM Zanzibar, au Mbowe Gaidi?
 
Ufumbuzi ni kutoa battery za remote, itabidi badala ya kukaa kwenye kochi ukisinzia uamuke kwenda kuwasha,kuzima na kubadili channel. kama hutatoa battery, basi remote chapa mzoga itazidi kufanya kazi zake huko mwenye runinga,huku mwenyewe ukiwa unaupiga mwingi kwenye sofa sebuleni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninesikiliza leo Rais... Nimethibisha pasi na shaka ana watu wachache wanaomsaidia kwa dhati ameandika hotuba ya kuuchamba muhimili wa nchi... Ninalisubiri bunge la kwa hamu... Kwa mara ya kwanza tunaweza tukawa na Serikali isiyo na support bungeni
Achana na ndoto za ABUNUASI.

Juzi tu Hapa Magu amethibitisha Rais ni kila kitu.

Ila kuna watu mna akili ndogo za kisahaulifu kama MAVI.

FACE THE REALITY ASS.HOLES
 
Sisi wavuja jasho na walala hoi tuna imani mwamba wetu Magu alishaweka misingi, wahuni wote ni suala la mda tu kwisha habari zao, tupo tunawasikilizia tu kuanzia mwaka 2014 ndio mtaijua nguvu ya mwendazake kwamba kumbe pamoja na kwamba amekufa ila idelogical yake bado inaishi kwa wafuasi wake
Hivi inakuwaje mtu mzima anakuwa mfuasi wa mtu?
 
Back
Top Bottom