Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

Mama namkubali sana only tu hajaamua..

inatakiwa siku moja akae mahali, avunje kila kitu na kisha ateuwe watu wake yeye, siyo aliowarithi.

as for ndugai kuongea vile wakt usa ni kubwa kiuchumi na jiografia kuliko tz ina wabunge 500 tu kulinganisha na tanzania yenye wabunge 400, nadhani huko mbeleni bora kuwe japo na wabunge 200 ili fedha ya kulipa wabunge 200 kila mwezi ikajenge shule na zahanati moja kila mwezi.
Huo ushauri wenu wa ateue watu wake ndio wa kijinga ndio maana mleta mada anasema kaingizwa mkenge
 
Mkuu 2024 mbali Sana tunaomba uelekeo sasa maana tunaona mbele ni giza Totoro hatujui hata uelekeo.
 
Nilipokuwa shule nilisoma kitabu kimoja kinaitwa NCHI YA KUSADIKIKA

Nilijitahidi sana kukisoma kile kitabu lakini sikuwahi kukielewa vizur kilikua na maana gani, na nilijitahidi sana kukisoma ili baadae niweze kutumia maudhui yake katika kujibu moja ya swali la mtihani ambalo ningekutana nalo, lakini sikuwahi kukielewa kile kitabu hata siku mona kuwa kilikua kina tafsiri nini??

Niliwahi kusema kuwa baada ya utawala wa awamu ya nne basi nchi ya Tanzania itatawaliwa kidictator na sina imani kama ilitokea au haikutokea

Ila wiki mbili zilizopita nilisema mama yetu ameingizwa mkenge na washauri wake bila yeye kufahamu, na mara nyingi utawala wa nchi yoyote ni mfumo na ndani ya mfumo kuna watii wa kweli na watii wa uongo, japo watii wa uongo kwa sura ndio wanakua wa kwanza kukupamba maneno matamu na kukushauri zaidi kuliko watii wa kweli

Mama aliingizwa mkenge kubadili baadhi ya mawaziri na aliingizwa mkenge na sasa nguvu ya mfumo kwake imelegea na hatimae magenge yameingiza watu wake kwa lengo la baadae bila mama kujua, leo mfumo umeanza kugawanyika bila yeye kufahamu kwanini unagawanyika, kuna wanaomwambia anaipoteza nchi na hatimae nchi itauzwa, kuna wanaomwambia anakopa bila sababu za msingi, kuna wanaoongoza nchi wakiwa nyumban huku yeye hajui

Nilisema mwaka 2024 nitatoa mwelekeo sahihi wa kijacho ndani ya nchi hii
Alooo baada ya miaka 10, ndio umeibuka tena? Mwelekeo ni bora tuujue tu sasahivi...24 mbali sana
 
mkuu ungeweka wazi mtazamo wako wa 2024 kwa sasa kama ulivyofanya kwenye thread hii iliyokuja kutimia kwa asilimia karibu zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetafakari sana na kuona kweli 2024 mbali,,,subirin hili fukuto likoke moto kwanza then jibu litakuja kabla ya 2024 tena mapema sanaa,,na nitawapa ukweli nini kitakachojili vzur,,

Lakin niwambie ukweli ,,kama mama angeendelea na system ya Magu hiyo ndio ingembeba na hiyo ndio ilikua sahihi kwake,,ameingiza wahuni bila kujua Magufuli alibebwa na upande upi wa kura katika hii nchi,

Kiufupi,,waliombeba Magu ni team Lowasa,,mama kawaondoa asilimia kubwa na ndio walikua na comflict of interest na mzee wa msoga tangu enzi za Kalamagi,Msabaha,Lowasa na hatimae Rostam Aziz,,

Pili mama kapoteza imani kwa kanda ya ziwa nzima bila yeye kujua na hapo ndipo ilikua turufu yake,,hutaweza kuelewa siku zijazo utaelewa,,

Tatu,,system ambayo ingempa nguvu mama ndani ya chama ilikua ni kumuacha Polepole abaki kama msemaji wa chama,,kafanya kosa kubwa kumuweka yule kijana ambae hana ushawishi mkubwa wa kisiasa na haiwez siasa ya fitina,,kama hulioni hilo utajua muda sio mrefu,,,sio kwamba Ndugai hajui anachokifanya,,anajua sana na anajua ni kwann sasa hiv Dodoma inafifuia wakat Magu aliifufua,,

Mwisho nasema,,baada ya mama ambae tunaamin kila atokapo muislamu anakuja mkiristo,,au akitoka mkiristo anakuja muislamu basi baada ya mama muislam anayekuja ni muislam tena,,tena atakua na nguvu kama ya Magu na siku zijazo nitawambia,,ila kwa sasa tuache fukuto lipigane,,na niwambie bado system ya Magu itamsumbua mama tena sanaa maana ameonekana kwenda kinyume na mwenzake,,ila kule mama anakoegemea hawana nia njema nae japo yeye hajui,
 
Bado tu hamjamaliza matanga! Mtalia mpaka lini?
 
Unaposema“kaingizwa mkenge“ unamaanisha nini ? Kwamba hajui kinachoendelea ?
Kwamba hajui hatuna umeme wala maji?

Acheni kudanganya watu, kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa kiende, ulishajiuliza kwa nini Upinzani uko na Samia kwenye kila kitu? Uliona wapi Dunia hii Opposition parties wanakubaliana na Serikali kwa 100% ? Kwa nini sasa wanaitwa Opposition wana oppose nini ?
Huhuhu unajidanganya sana kama unaangalia hilo. Opposition wakishatupiwagwa mifupa na mabaki kutoka high table hua wanalamba tu miguu. Wako teyari kushirikiana na ibilisi hao.
 
Huwa nilikaa kusikiliza stori za wakina mama, mienendo yao, tabia na hulka na hisia zao pamoja na maamuzi yao kwenye mambo mazito na mepesi napata sana shaka na uongozi wetu tulio nao kama tutafika sala ama la!

Tunaweza kweli kufika lakini kwa kufikishwa na wengine tena maslahi yao.

Najiwaziaga tu na akili zangu ndogo kama tutapata aina nyingine ya raisi kama mkapa sijui!

Ni kama vile hatuna bahati sijui?
 
Nimetafakari sana na kuona kweli 2024 mbali,,,subirin hili fukuto likoke moto kwanza then jibu litakuja kabla ya 2024 tena mapema sanaa,,na nitawapa ukweli nini kitakachojili vzur,,

Lakin niwambie ukweli ,,kama mama angeendelea na system ya Magu hiyo ndio ingembeba na hiyo ndio ilikua sahihi kwake,,ameingiza wahuni bila kujua Magufuli alibebwa na upande upi wa kura katika hii nchi,

Kiufupi,,waliombeba Magu ni team Lowasa,,mama kawaondoa asilimia kubwa na ndio walikua na comflict of interest na mzee wa msoga tangu enzi za Kalamagi,Msabaha,Lowasa na hatimae Rostam Aziz,,

Pili mama kapoteza imani kwa kanda ya ziwa nzima bila yeye kujua na hapo ndipo ilikua turufu yake,,hutaweza kuelewa siku zijazo utaelewa,,

Tatu,,system ambayo ingempa nguvu mama ndani ya chama ilikua ni kumuacha Polepole abaki kama msemaji wa chama,,kafanya kosa kubwa kumuweka yule kijana ambae hana ushawishi mkubwa wa kisiasa na haiwez siasa ya fitina,,kama hulioni hilo utajua muda sio mrefu,,,sio kwamba Ndugai hajui anachokifanya,,anajua sana na anajua ni kwann sasa hiv Dodoma inafifuia wakat Magu aliifufua,,

Mwisho nasema,,baada ya mama ambae tunaamin kila atokapo muislamu anakuja mkiristo,,au akitoka mkiristo anakuja muislamu basi baada ya mama muislam anayekuja ni muislam tena,,tena atakua na nguvu kama ya Magu na siku zijazo nitawambia,,ila kwa sasa tuache fukuto lipigane,,na niwambie bado system ya Magu itamsumbua mama tena sanaa maana ameonekana kwenda kinyume na mwenzake,,ila kule mama anakoegemea hawana nia njema nae japo yeye hajui,
Afadhali, nimeata unafuu
 
Magu alikua na nguvu sana hadi kwenye mifumo ya nchi na siasa na chamani ambako alitumia muda mfupi sana kujijenga. Alijifunza kutoka kwenye siasa za BWM hadi ka akina JK na EL jinsi walivotaka kupasuka na ambavyo JK chama kilimdodea mikononi na akataka kushindwa kuitawala.

Mwenye kuijua siasa yeyote asifikiri JPM baada tu ya kufa basi na nguvu zake zimekwisha. Haiwezekani na ni ngumu, aliaacha watu na nguvu na imani sio tu kwa aliowateua ila hadi kwa wananchi the commonmwananchi pia kuna chemchemi zake.

Na yale mabadiliko ya fasta fasta ya kupangua safu na kujidetach na mazito na devils deeds za JPM kama wanavyoziita wakati walikua ndani ya kapu moja the commonmwananchi anawashangaa tu nakuwasubiri kitaa.

Umechambua vizuri wao wanadhani team EL ilishakufa au kuparangayika baada ya Mzee wao kuyumba, hawajui kuwa JPM wengi wao waliorudisha mioyo aliwatunuku.Kuna tukina Msomali tumetulia tu kama tufala ila ngoja mwaka kesho hadi 2024 huko ndio mchwa wenywe vichwa nyungu wataanza kunyevua.

Mwisho kabisa para 5 umeiweka vizuri ila ndio ujuha ule ule wa protectionism politics aka princelings system yaani bila kujali uwezo inakua mupe yule muruke yule as long as ni washangazi wamjomba atanilinda.
Slowpole ilibidi tu angemuacha pale pale ni kupe huyo atamsumbua.

Ni hayo tu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nimetafakari sana na kuona kweli 2024 mbali,,,subirin hili fukuto likoke moto kwanza then jibu litakuja kabla ya 2024 tena mapema sanaa,,na nitawapa ukweli nini kitakachojili vzur,,

Lakin niwambie ukweli ,,kama mama angeendelea na system ya Magu hiyo ndio ingembeba na hiyo ndio ilikua sahihi kwake,,ameingiza wahuni bila kujua Magufuli alibebwa na upande upi wa kura katika hii nchi,

Kiufupi,,waliombeba Magu ni team Lowasa,,mama kawaondoa asilimia kubwa na ndio walikua na comflict of interest na mzee wa msoga tangu enzi za Kalamagi,Msabaha,Lowasa na hatimae Rostam Aziz,,

Pili mama kapoteza imani kwa kanda ya ziwa nzima bila yeye kujua na hapo ndipo ilikua turufu yake,,hutaweza kuelewa siku zijazo utaelewa,,

Tatu,,system ambayo ingempa nguvu mama ndani ya chama ilikua ni kumuacha Polepole abaki kama msemaji wa chama,,kafanya kosa kubwa kumuweka yule kijana ambae hana ushawishi mkubwa wa kisiasa na haiwez siasa ya fitina,,kama hulioni hilo utajua muda sio mrefu,,,sio kwamba Ndugai hajui anachokifanya,,anajua sana na anajua ni kwann sasa hiv Dodoma inafifuia wakat Magu aliifufua,,

Mwisho nasema,,baada ya mama ambae tunaamin kila atokapo muislamu anakuja mkiristo,,au akitoka mkiristo anakuja muislamu basi baada ya mama muislam anayekuja ni muislam tena,,tena atakua na nguvu kama ya Magu na siku zijazo nitawambia,,ila kwa sasa tuache fukuto lipigane,,na niwambie bado system ya Magu itamsumbua mama tena sanaa maana ameonekana kwenda kinyume na mwenzake,,ila kule mama anakoegemea hawana nia njema nae japo yeye hajui,
Nakuelewa kiongozi, huo ndio ukweli mtupu.
Mama hata hakuangalia aliposema mm ni yule yule wa Magufuli watu walizizima kwa vificho na shangwe, ila alipoanza kusema analembu*a wakaanza kumpa mgongo
 
Back
Top Bottom