secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Kambale wengi masharubu mengiLangu jicho, naombea nchi yangu good transition ila kwa yanayoendelea kwa sasa ni as if hatuna Rais, Yani watu wa chini Wana mpinga hadharani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kambale wengi masharubu mengiLangu jicho, naombea nchi yangu good transition ila kwa yanayoendelea kwa sasa ni as if hatuna Rais, Yani watu wa chini Wana mpinga hadharani
Tupate rais mwingine tena kama jambazi mkapa! Tumemkosea nini Mungu?!Najiwaziaga tu na akili zangu ndogo kama tutapata aina nyingine ya raisi kama mkapa sijui!
Alikua na vision bro halinganishiki na walimfuatiaTupate rais mwingine tena kama jambazi mkapa! Tumemkosea nini Mungu?!
Kama ni vision ya kuhonga mali za taifa kwa wakwe na shemeji zake, nakubaliana na wewe.Alikua na vision bro halinganishiki na walimfuatia
Wakwe gani ndugu yangu, nipo jirani kabisa na nyumbani kwao mama mkapa, wala hamna cha sana unachoweza kusema wamepata kutoka kwake.Kama ni vision ya kuhonga mali za taifa kwa wakwe na shemeji zake, nakubaliana na wewe.
Familia nzima Wana ndevu ka za kambale na kujiona ni wakubwaKambale wengi masharubu mengi
Good to know that you're one of them. Ile asasi ya fursa sawa kwa wote iliishia wapi?Wakwe gani ndugu yangu, nipo jirani kabisa na nyumbani kwao mama mkapa, wala hamna cha sana unachoweza kusema wamepata kutoka kwake.
Yaliopita si ndwele bro!Good to know that you're one of them. Ile asasi ya fursa sawa kwa wote iliishia wapi?
Usifanye mzaha kwenye hoja za maslahi ya nchiNi sawa na kile chama kinachoongozwa na yule mzungu baharia amstedam akishirikiana na lile tundu la kisu. Akisema mashoga waachwe wafanye ushenzi wao chama kinatoa tamko la kupinga oparation ya mashoga, akisema mwenyekiti wa chama hicho aendelee kukaa jela ili apate ya kuongea kwa mahabaria wenzake chama kinatoa tamko kuwa mwenyekiti wao asiachiwe na wala usiombwe msamaha wowote kwa yule anaetaka kumuachia, akisema wapambe na wanachama wa chama anachodhamini waingie barabarani kutaka sheria ya ndoa za mashoga basi chama kinaanza kupambana na serikali ili ipitishe haki na sheria za mashoga kufunga ndoa. Hapo sijazungumzia uuzaji wa madawa nk. Yani chama kipo Tanzania lkn muongozaji wa sera za chama yupo Ulaya. So kwa nchi hii ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.
Mkuu upinzani gani unazungumzia? upinzani wa Cuba au Tanzania?ulishajiuliza kwa nini Upinzani uko na Samia kwenye kila kitu? Uliona wapi Dunia hii Opposition parties wanakubaliana na Serikali kwa 100% ?
Kumbe ni mrithi duuuMama namkubali sana only tu hajaamua..
inatakiwa siku moja akae mahali, avunje kila kitu na kisha ateuwe watu wake yeye, siyo aliowarithi.
as for ndugai kuongea vile wakt usa ni kubwa kiuchumi na jiografia kuliko tz ina wabunge 500 tu kulinganisha na tanzania yenye wabunge 400, nadhani huko mbeleni bora kuwe japo na wabunge 200 ili fedha ya kulipa wabunge 200 kila mwezi ikajenge shule na zahanati moja kila mwezi.
Naomba utusaidie ni nani anayemuandalia Rais hotuba/cha kusema mbele ya Hadhara.Nimetafakari sana na kuona kweli 2024 mbali,,,subirin hili fukuto likoke moto kwanza then jibu litakuja kabla ya 2024 tena mapema sanaa,,na nitawapa ukweli nini kitakachojili vzur,,
Lakin niwambie ukweli ,,kama mama angeendelea na system ya Magu hiyo ndio ingembeba na hiyo ndio ilikua sahihi kwake,,ameingiza wahuni bila kujua Magufuli alibebwa na upande upi wa kura katika hii nchi,
Kiufupi,,waliombeba Magu ni team Lowasa,,mama kawaondoa asilimia kubwa na ndio walikua na comflict of interest na mzee wa msoga tangu enzi za Kalamagi,Msabaha,Lowasa na hatimae Rostam Aziz,,
Pili mama kapoteza imani kwa kanda ya ziwa nzima bila yeye kujua na hapo ndipo ilikua turufu yake,,hutaweza kuelewa siku zijazo utaelewa,,
Tatu,,system ambayo ingempa nguvu mama ndani ya chama ilikua ni kumuacha Polepole abaki kama msemaji wa chama,,kafanya kosa kubwa kumuweka yule kijana ambae hana ushawishi mkubwa wa kisiasa na haiwez siasa ya fitina,,kama hulioni hilo utajua muda sio mrefu,,,sio kwamba Ndugai hajui anachokifanya,,anajua sana na anajua ni kwann sasa hiv Dodoma inafifuia wakat Magu aliifufua,,
Mwisho nasema,,baada ya mama ambae tunaamin kila atokapo muislamu anakuja mkiristo,,au akitoka mkiristo anakuja muislamu basi baada ya mama muislam anayekuja ni muislam tena,,tena atakua na nguvu kama ya Magu na siku zijazo nitawambia,,ila kwa sasa tuache fukuto lipigane,,na niwambie bado system ya Magu itamsumbua mama tena sanaa maana ameonekana kwenda kinyume na mwenzake,,ila kule mama anakoegemea hawana nia njema nae japo yeye hajui,
Unajua upigaji au unafanya majaribionyie mlioteuliwa na magu ndiyo mnazingua, hamtaki mguswe, wala upigaji wenu uguswe
akishaelewa hili, na kifanya rishafo ndiyo utaelewa
watajua hawajui...wapo wapuuzi watakubishia ...kila mkoa,wilaya,kata/kijiji si wanaume wala wanawake wanasema hakuna rais hapoNimetafakari sana na kuona kweli 2024 mbali,,,subirin hili fukuto likoke moto kwanza then jibu litakuja kabla ya 2024 tena mapema sanaa,,na nitawapa ukweli nini kitakachojili vzur,,
Lakin niwambie ukweli ,,kama mama angeendelea na system ya Magu hiyo ndio ingembeba na hiyo ndio ilikua sahihi kwake,,ameingiza wahuni bila kujua Magufuli alibebwa na upande upi wa kura katika hii nchi,
Kiufupi,,waliombeba Magu ni team Lowasa,,mama kawaondoa asilimia kubwa na ndio walikua na comflict of interest na mzee wa msoga tangu enzi za Kalamagi,Msabaha,Lowasa na hatimae Rostam Aziz,,
Pili mama kapoteza imani kwa kanda ya ziwa nzima bila yeye kujua na hapo ndipo ilikua turufu yake,,hutaweza kuelewa siku zijazo utaelewa,,
Tatu,,system ambayo ingempa nguvu mama ndani ya chama ilikua ni kumuacha Polepole abaki kama msemaji wa chama,,kafanya kosa kubwa kumuweka yule kijana ambae hana ushawishi mkubwa wa kisiasa na haiwez siasa ya fitina,,kama hulioni hilo utajua muda sio mrefu,,,sio kwamba Ndugai hajui anachokifanya,,anajua sana na anajua ni kwann sasa hiv Dodoma inafifuia wakat Magu aliifufua,,
Mwisho nasema,,baada ya mama ambae tunaamin kila atokapo muislamu anakuja mkiristo,,au akitoka mkiristo anakuja muislamu basi baada ya mama muislam anayekuja ni muislam tena,,tena atakua na nguvu kama ya Magu na siku zijazo nitawambia,,ila kwa sasa tuache fukuto lipigane,,na niwambie bado system ya Magu itamsumbua mama tena sanaa maana ameonekana kwenda kinyume na mwenzake,,ila kule mama anakoegemea hawana nia njema nae japo yeye hajui,
Mmi ni mgen JF ila mwamba huyu anaonekana ni GREAT THINKER.....pia yupo kweny system kila kinachoendelea anajua.Nimetafakari sana na kuona kweli 2024 mbali,,,subirin hili fukuto likoke moto kwanza then jibu litakuja kabla ya 2024 tena mapema sanaa,,na nitawapa ukweli nini kitakachojili vzur,,
Lakin niwambie ukweli ,,kama mama angeendelea na system ya Magu hiyo ndio ingembeba na hiyo ndio ilikua sahihi kwake,,ameingiza wahuni bila kujua Magufuli alibebwa na upande upi wa kura katika hii nchi,
Kiufupi,,waliombeba Magu ni team Lowasa,,mama kawaondoa asilimia kubwa na ndio walikua na comflict of interest na mzee wa msoga tangu enzi za Kalamagi,Msabaha,Lowasa na hatimae Rostam Aziz,,
Pili mama kapoteza imani kwa kanda ya ziwa nzima bila yeye kujua na hapo ndipo ilikua turufu yake,,hutaweza kuelewa siku zijazo utaelewa,,
Tatu,,system ambayo ingempa nguvu mama ndani ya chama ilikua ni kumuacha Polepole abaki kama msemaji wa chama,,kafanya kosa kubwa kumuweka yule kijana ambae hana ushawishi mkubwa wa kisiasa na haiwez siasa ya fitina,,kama hulioni hilo utajua muda sio mrefu,,,sio kwamba Ndugai hajui anachokifanya,,anajua sana na anajua ni kwann sasa hiv Dodoma inafifuia wakat Magu aliifufua,,
Mwisho nasema,,baada ya mama ambae tunaamin kila atokapo muislamu anakuja mkiristo,,au akitoka mkiristo anakuja muislamu basi baada ya mama muislam anayekuja ni muislam tena,,tena atakua na nguvu kama ya Magu na siku zijazo nitawambia,,ila kwa sasa tuache fukuto lipigane,,na niwambie bado system ya Magu itamsumbua mama tena sanaa maana ameonekana kwenda kinyume na mwenzake,,ila kule mama anakoegemea hawana nia njema nae japo yeye hajui,
hilo ni wazi kabisaLangu jicho, naombea nchi yangu good transition ila kwa yanayoendelea kwa sasa ni as if hatuna Rais, Yani watu wa chini Wana mpinga hadharani
Nilipokuwa shule nilisoma kitabu kimoja kinaitwa NCHI YA KUSADIKIKA
Nilijitahidi sana kukisoma kile kitabu lakini sikuwahi kukielewa vizur kilikua na maana gani, na nilijitahidi sana kukisoma ili baadae niweze kutumia maudhui yake katika kujibu moja ya swali la mtihani ambalo ningekutana nalo, lakini sikuwahi kukielewa kile kitabu hata siku mona kuwa kilikua kina tafsiri nini??
Niliwahi kusema kuwa baada ya utawala wa awamu ya nne basi nchi ya Tanzania itatawaliwa kidictator na sina imani kama ilitokea au haikutokea
Ila wiki mbili zilizopita nilisema mama yetu ameingizwa mkenge na washauri wake bila yeye kufahamu, na mara nyingi utawala wa nchi yoyote ni mfumo na ndani ya mfumo kuna watii wa kweli na watii wa uongo, japo watii wa uongo kwa sura ndio wanakua wa kwanza kukupamba maneno matamu na kukushauri zaidi kuliko watii wa kweli
Mama aliingizwa mkenge kubadili baadhi ya mawaziri na aliingizwa mkenge na sasa nguvu ya mfumo kwake imelegea na hatimae magenge yameingiza watu wake kwa lengo la baadae bila mama kujua, leo mfumo umeanza kugawanyika bila yeye kufahamu kwanini unagawanyika, kuna wanaomwambia anaipoteza nchi na hatimae nchi itauzwa, kuna wanaomwambia anakopa bila sababu za msingi, kuna wanaoongoza nchi wakiwa nyumban huku yeye hajui
Nilisema mwaka 2024 nitatoa mwelekeo sahihi wa kijacho ndani ya nchi hii