Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

Ongozeni mauzo ya bidhaa na huduma nje ya nchi; punguzeni imports kwa bidhaa au huduma ambazo nchi inaweza kuzalisha.

Wizara ya fedha, viwanda na biashara, kilimo, mifugo na uwekezaji wanatakiwa waje na real working model ili haya yawezekane.

Mfano, kila mwaka mnajua matumizi ya sukari ni zaidi ya tani laki 6, uwezo wa ndani kuzalisha ni tani laki 3; nchi inshindwaje kuja na parament solution?
Kila mwaka nchi inaagiza agro-inputs (ikiwemo mbolea) zaidi ya tani laki 8;
Kwanini tusiwe na industrial production ya agro-inputs kwa soko ambalo lipo?

Nyerere kwa old technology aliweza kuwa crude petroleum refinery na bi-products ya petroleum ni mbolea na lami; leo mna-import kila kitu, msitegemee miujiza.

Lazima balance of trade and balance of payments iwe na surplus.
Hapo tutatoboa.

Jumatatu njema!
Haya ndiyo maneno sasa. Kongole
 
Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
Na ku encourage Diaspora wake na investors wengine kuwekeza TZ au kusaidia ndugu zao TZ.
Badala ya kuwatukana Diaspora kwasababu za kijinga tu ifike mahali tuwa encourage kupenda kwao na kusaidia ndugu zao.
 
Wahusika sijui kama wanakusikia!
SSH bila kupepesa macho anatakiwa kufanya re-shuffle ya baraza la mawaziri, kama waziri wa fedha hafai kabisa na hana ubunifu wowote!
Dola ni pesa ya marekani,wao wameamua kuipunguza sokoni,we unalaumu Waziri,Dola ni shida dunia nzima
 
Tunahitaji dollars kwa ajili ya kufanyia nini? Naomba tuanze hapa kwanza o tejazba
Bidhaa zote tunazonunua nje tunanunua kwa dola. Nafuta, ngano, magari, sumsung, iphone, pamba kali, mitumba, dawa, mitambo, lami, ndege, sindano, tootoothpicks, yaani karibu kila kitu kinachotoka nje jua tumenunua kwa dola. Pia tunatumia dola kulipa madeni.
 
Nadhani tupunguze matumizi yasio ya lazima,Kuna miradi ya kisiasa inayofirisi nchi sababu malipo mengi yanafanyika Kwa dola huku vyanzo vikibaki vile vile.

Katazo na onyo kali litolewe kuzuia several transactions kufanywa Kwa dola (Rent,Tozo,etc)..

Strategic bilateral agreements zifanywe dhidi ya nchi ambazo tunanunua zaidi commodities (Vyakula,Raw materials,Spares,etc) ili settlement Za malipo yafanyike Kwa kutumia local currency.

Tuvufungue Milango zaidi kuruhusu FDI Kwa kupunguza masharti yasio na tija..Wawekezaji walete mitaji Kwa wingi.

Watanzania walioiba fedha kuoitia utumishi wa umma na Rushwa wapewe amnesty ili kuzirudisha nyumbani na kwenye mzunguko (Mabilioni ya dola yamefichwa kwenye visiwa -Safe heavens na waliokuwa viongozi,viongozi).

Tupige marufuku wageni kuja na kufanya biashara ya export tokea kwenye roots..Watoe kazi Kwa wazawa kuepuka mapato mengi ya exports kuondoka nchini.

Mashamba makubwa 500 yaanzishwe kimkakati yenye ukubwa kati ya ekari 2000 mpaka 5000 Kwa mkulima mmoja..mikopo ya fedha na mitambo isio na riba Itolewe kuchochea kilimo ktk mazao makuu 7 (Ngano,Mahindi,kahawa,Alizeti,Mpunga,Korosso,Kunde,Ufuta,Miwa,Chai,Maharagwe..etc,Wahitimu wa kilimo ewalazimishwe kufanya kazi za uzalishaji vijijini Kwa kupewa ruzuku na vifaa na mitambo ya kilimo .

Ujenzi wa viwanda 200 kupitia EPZA.Wazawa wawezeshwe kupanua na kujenga viwanda kupitia EPZA ili kuboost export ktk kupitia export demands zilizopo na uongezaji thamani’mfano.Nguo,ngozi,Maziwa,Chakula,etc
Mawazi mazuri. Mashamba 500 ya ekari 5000 kila moja ni ekari2.5m. Hayo yanaweza kukomesha kabisa uagizaji wa ngano na mafuta ya alizeti ambayo tunatumia dola nyingi kuagiza. Hapo nikufungua tu mabonde mengi tuliyonayo.

EPZs na viwanda vya bidhaa tunazoweza kuzalisha nayo itasaidia sana.

Bilateral angreements za kufanya biashara kwa local currencies mara nyingi huwa zinakuwa abused. Unaweza kuta umejaza mashillingi ya Kenya na hujui per kuyapeleka huku wamesomba mahindi yote. Pia FDI nayo huonekana nzuri mwanzoni, kama wakati Mkapa anabinafsisha mashirika. Lakini baada ya muda watu hao huchukua faida na kupeleka kwao kwa dola matokeo yake dola zinaanza kutoka kwa kasi.
 
Na ku encourage Diaspora wake na investors wengine kuwekeza TZ au kusaidia ndugu zao TZ.
Badala ya kuwatukana Diaspora kwasababu za kijinga tu ifike mahali tuwa encourage kupenda kwao na kusaidia ndugu zao.
Hii nayo nzuri. Na kuwaacha na kuwaencourage na kuwawezesha watu waende kuwa diaspora. Leo hii uchumi wa Lebanon umeangukia pua, diaspora ndiyo wanafanya nchi iende. Nchi ya Lebanon ina watu wengi nje ya Lebanon kuliko waliopo Lebanon.
 
Ongozeni mauzo ya bidhaa na huduma nje ya nchi; punguzeni imports kwa bidhaa au huduma ambazo nchi inaweza kuzalisha.

Wizara ya fedha, viwanda na biashara, kilimo, mifugo na uwekezaji wanatakiwa waje na real working model ili haya yawezekane.

Mfano, kila mwaka mnajua matumizi ya sukari ni zaidi ya tani laki 6, uwezo wa ndani kuzalisha ni tani laki 3; nchi inshindwaje kuja na parament solution?
Kila mwaka nchi inaagiza agro-inputs (ikiwemo mbolea) zaidi ya tani laki 8;
Kwanini tusiwe na industrial production ya agro-inputs kwa soko ambalo lipo?

Nyerere kwa old technology aliweza kuwa crude petroleum refinery na bi-products ya petroleum ni mbolea na lami; leo mna-import kila kitu, msitegemee miujiza.

Lazima balance of trade and balance of payments iwe na surplus.
Hapo tutatoboa.

Jumatatu njema!
Dola zimfichwa kama wanavyoficha sukari. Nchi inaingia kwenye msururu wa biashara za magendo.
 
Bidhaa zote tunazonunua nje tunanunua kwa dola. Nafuta, ngano, magari, sumsung, iphone, pamba kali, mitumba, dawa, mitambo, lami, ndege, sindano, tootoothpicks, yaani karibu kila kitu kinachotoka nje jua tumenunua kwa dola. Pia tunatumia dola kulipa madeni.
Nina mdogo wangu ana akaunti ya Tsh pale CRDB na anafanya biashara ya spare part za pikipiki na generators. Mwaka jana mwezi September alisafiri kwenda Gwangzhou na Visa Card yake kutoka CRDB Bank. Kabla ya safari alikwenda branch yake akawaambia anasafiri kwenda kufunga mzigo wa kama USD 20,000 (sawa na Tsh 50 Million).

Walichofanya wakamuongezea limit ya ku-draw ATM akiwa kule Guangzhou. Dogo alisafiri na akafunga mzigo bila kununua dola hata moja. Alinunua mzigo kwa Chinese Yuan.

Nashangaa wasio na mahitaji ya dollas ndiyo wanalalamika kuwa dollas hazipo na zikipatikana bei iko juu
 
Ewe mpinga Mungu elewa kuwa unajiita jina la hovyo,lakipumbavu,lakishenzi,la uchafu,linanuka,linatia kichefuchefu.
Bora ungejiita hata mavi kama unatafuta u- unique!!!
 
Hili suala nilidhani serikali wanasingiziwa na wenyewe wanakataa kuwa wa kweli ila Leo nilienda benki fulani kubwa hapa nchini tena mtu wa ndani ameniambia Dola hamna kabisa..
Mkuu sasa hivi ukipeleka benki yoyote dola zako hata 10 tu, ukamkabidhi teller, halafu dakika hiyo hiyo ubadili mawazo, umwombe akurudishie, atakwambia hana!!
Sasa sijui ni maagizo toka juu?
Au sasa hivi dola zinayeyuka zikishafika benki?!
 
Why depend on Dollar in the First Place ?!!!!; Kuendelea kusumbuka kutafuta dollar for survival ni kutibu symptoms na sio underlying causes... Kutibu ugonjwa ni kutokuwa overdependent na kitu ambacho hauna uwezo wa kukimanage.... na hilo the Pan-Africanist's of the yesteryear walishaliwaza sana hili.... inabidi kuungana as Clan's can not defeat Empires....
 
Kuna vitu vingi sana mnaagiza kutoka nje wakati mnaweza kuvitengeneza nchini
Mtakuwa wasindikizaji tu
Mtu anaagiza mpaka viberiti, yeboyebo, na uchafu kibao wakati mnaweza hata kutengeneza bumper za magari na hata baiskeli
Sasa $ zinapigwa na wajanja na wamezizika nje huku wakila shilingi zenu pia
 
Uchumi wa maframe ,utakuwaje na $$

Ova
Unaweza mbona kipindi watu walikuwa wakilipa Hadi Kodi za nyumba na pango la fremu Kwa Dola maeneo prime.Wewe unawaza exports tu ili kupata dola

Njia nyingine wawaige Kenya kuwa na mifumo kama ya mtu kulipwa Kwa PayPal Kwa kitu anachofanya Cha business online.Biashara ya Sasa sio tu ya kusuburi Pesa za pamba na korosho au chai ulizouza nje watu waweza tengeneza software au akaanzisha chuo kikuu Cha kufundisha online akapata wanachuo Toka nje wakamlipa mamilioni ya Dola online .Shida ni njia za kupokea hela online njia kama PayPal hazipo .
 
Why depend on Dollar in the First Place ?!!!!; Kuendelea kusumbuka kutafuta dollar for survival ni kutibu symptoms na sio underlying causes... Kutibu ugonjwa ni kutokuwa overdependent na kitu ambacho hauna uwezo wa kukimanage.... na hilo the Pan-Africanist's of the yesteryear walishaliwaza sana hili.... inabidi kuungana as Clan's can not defeat Empires....
Hili tumeishashikwa toka Marekani walipoifanya pesa yao kuwa pesa ya dunia. Na jeshi lao kazi yake kubwa ni kulinda hiyo status ya dola. Tukitaka kuachana nayo tuwe tayari kupambana hasa.
 
Back
Top Bottom