Ungemwekea na sababu labda atakuelewa.Dola ni pesa ya marekani,wao wameamua kuipunguza sokoni,we unalaumu Waziri,Dola ni shida dunia nzima
akafunga mzigo bila kununua dola hata moja. Alinunua mzigo kwa Chinese Yuan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungemwekea na sababu labda atakuelewa.Dola ni pesa ya marekani,wao wameamua kuipunguza sokoni,we unalaumu Waziri,Dola ni shida dunia nzima
akafunga mzigo bila kununua dola hata moja. Alinunua mzigo kwa Chinese Yuan.
Biblia inasema usimjibu Shetani kwa matukano. Unaweza dhani unamtetea Mungu kumbe unamkosea.Wewe unajiita mtetezi wa shetani!! You are such a schupidi ivo jok!! Unastahili kukemewa vikali na Kila mwenye kuvuta pumzi hii ya Mungu
1. Kupambana hujuma. Serikali ikishindwa kupambana na hujuma lazima ikutane na artificial crisis ya bidhaa muhimu kwa sababu binadamu tumeumbiwa tamaa. Ukitiachia nafasi tunakupiga saba bila.Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
Protectionism inaonekana wazo zuri on paper ila in reality ni kitu hakiwezekani. In today's world synergies za production na supply chains zipo so integrated kiasi cha kuwa huwezi fanya kila kitu mwenyewe. Kila nchi lazma ispecialise in something or mambo kadhaa ili kuwa competitive enough .Kutumia currencies zetu siyo rahisi. Kuna matatizo mengi. Kenya ikiingiwa na njaa wanaweza chapisha tu Ksh na kuja kusomba mahindi na mchele. Angola anayezalisha mafuta atajikuta amejaza makwacha, matsh, maksh nk nk. Halafu akitaka kwenda kununua matrekta, mitambo au smartphone anakuta pesa nyingi alizonazo hazifai kitu.
Kwenye theory, protectionism inaonekana mbaya na watu watashabikia comperative advantages. Lakini hao hao wanaotuambia mambo hayo waliendelea kwa kufuata protectionism na kupuuza comperative advantage. Kwa nchi kujenga mwenyewe, hata kama ni gharama kuna faida kwa uchumi wako kuliko kununua nje kwa bei chee. Mfano tungesema tununue sukari ya bei rahisi kutoka Brazil viwanda vyetu vitakufa na ajira zake na faida zake zote.
Kununua bidhaa kutoka nje kama petroli, magari, spea, kulipia miradi inayofanywa na makampuni ya kimataifa ya nje, kuagiza dawa na vifaa vya tiba, kulipia wagonjwa wanaokwenda nje kwa matibabu, Kulipia tiketi za ndege kwa wasafiri na mizigo n.kTunahitaji dollars kwa ajili ya kufanyia nini? Naomba tuanze hapa kwanza bila jazba
Nchi inafanya protectionism kwa bidhaa inazoweza kuzalisha. Kama hapa kwetu tunaweza fanya kwenye ngano na mafuta ya alizeti.Protectionism inaonekana wazo zuri on paper ila in reality ni kitu hakiwezekani. In today's world synergies za production na supply chains zipo so integrated kiasi cha kuwa huwezi fanya kila kitu mwenyewe. Kila nchi lazma ispecialise in something or mambo kadhaa ili kuwa competitive enough .
Huwezi tengeza sukari, candy , smartphones , precision equipment , petrochemicals etc na uuze mwenyewe nchini . Kwa simu tu kuna components kama 6000 , ukija chakula kuproduce hata vyakula vinne nchi nzima kwa wingi ni shida tupu utapata kuna hindrances kama soil unproductivity bcoz of monocropping later .
Bado hata sijafikia kuwa pale utazuia nchi zingine kukuuzia watakufungia masoko yao in retaliation. Hence the cycle pale ni zero sum game
Issue hapa ni simple sana , boost exports , shusha bei ya umeme , allocate pesa to innovation na punguza immense taxation .
Pale lazma manufacturing ishike kasi hata iweje . Ila nchi hii ushuru upo juu sana mbona nisiende malawi nifungue mtambo , kodi , stima ipo nafuu nkuletee hapa bongo nile faida kiulaini??
1. Biashara ya currency inapanda na kushuka.., sasa hivi nikitaka kwenda Kenya kununua bidhaa nita-exchange to Kenyan currency accordingly wala sitatumia dollar - wakiamua kuchapisha manoti yao itawatokea puani in the future as well as kuacha kuaminika; By the way wenyewe wakitaka chakula na sisi kuna kitu tutaka kule hivyo ni kuuziana na kununuliana mode of exchange will take care of itself ukishafungua milango cha maana ni kuongeza uzalishaji both quality and quantity
2. Binafsi sishauri hata hayo Mafuta ya Angola tununue convert magali mengi kutumia gesi asilia punguza matumizi ya mafuta; By the way Afrika ni kubwa kama tunashindwa hata kufanya assembling ya mitambo basi tatizo sio ukosefu wa currency bali ni tegemezi na tunahitaji kuwa self reliant...
3. Kuna kipindi duniani Protectionism ndio ilikuwa mpango mzima na dunia suffered a lot kwahio sababu kuna sehemu kuna geographical advantage hata ufanye nini huwezi kutengeneza wines kuliko South Africa au Italy (mazingira yanawa-favor) hivyo kuliko kunganganiza kufanya kila kitu ni bora tukafanya vile ambavyo we are better off na kununua kwa wengine ambao they are better off in what they do
4.
Ni nzuri kutumia sarafu zetu sema ni rahisi kuabuse hiyo system. Kama wanachapisha na pesa hizo wanakuja kununulia mchele na mahindi hazitaweza kuwatokea puani. Itakuwa kama US anayechapisha dola kila leo lakini hazimuathiri kiinflation sababu zinatumika kwingine(duniani kote). Jambo zuri labda kujua sisi na Kenya tunafanya biashara ya thamani kiasi gani na tukbaliane kutumia sarafu zetu kwa kiasi hicho tu. Mwenye trade deficit ndiyo aamue kiasi cha biashara kitakachofanyika kwa pesa zetu. Zaidi ya hapo majanga au kutumia dola.
5. Mabadiliko ya sera za dola ya miaka ya 1970s yalikuwa na mchango mkubwa kwenye anguko la Afrika. Hata kujiendeleza kiviwanda kulikomea pale. Financial system ya dunia ndiyo inaamua uchumi hata wa walio mbali.
6. Protectionism inafanyika kwenye biashara unazoweza kuzalisha. Mfano sisi tunaweza kuzalisha ngano na sukari. Tunafanya protectionism humo. Lakini si kwenye wine na iphone.
6.
Hii unazungumzia ndiyo comperative advantage ambayo ni kitu hatari kwa uchumi. Ni bora kuzalisha sukari hata kama unazalisha kwa bei juu kuliko kutegemea utanunua ya Brazil kwa sababu ni cheap.
Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
Kwenye national level, mimi nililenga swali langu kwenye individual level. Je mtanzania wa kawaida anataka dollars za nini?Kununua bidhaa kutoka nje kama petroli, magari, spea, kulipia miradi inayofanywa na makampuni ya kimataifa ya nje, kuagiza dawa na vifaa vya tiba, kulipia wagonjwa wanaokwenda nje kwa matibabu, Kulipia tiketi za ndege kwa wasafiri na mizigo n.k
Tunahitaji dollars kwa ajili ya kufanyia nini? Naomba tuanze hapa kwanza bila jazba
Chagua CCM ndiyo mzizi wa hizi taabu zote...Yaani mambo yako shaghalabaghala..
Kila kitu kimesambaratika..
Yaani ile "Things Fall Apart " ndo tunayoiona sasa!
Kununua bidhaa nje ya nchiTunahitaji dollars kwa ajili ya kufanyia nini? Naomba tuanze hapa kwanza bila jazba
Kufanya manunuzi ya nje na kulipa madeni aka mikopoTunahitaji dollars kwa ajili ya kufanyia nini? Naomba tuanze hapa kwanza bila jazba
Ila mzee wa Kino hapa nchini hii biashara ya nunua uza ndo inaonekana biashara wakati ndo inazidi kuididimiza nchi. Nchi imegeuka ya wachuuzi. Sisi ni kama tunajenga uchumi wa China na Uturuki.Uchumi wa maframe ,utakuwaje na $$
Ova