Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

Wewe unajiita mtetezi wa shetani!! You are such a schupidi ivo jok!! Unastahili kukemewa vikali na Kila mwenye kuvuta pumzi hii ya Mungu
Biblia inasema usimjibu Shetani kwa matukano. Unaweza dhani unamtetea Mungu kumbe unamkosea.
 
Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
1. Kupambana hujuma. Serikali ikishindwa kupambana na hujuma lazima ikutane na artificial crisis ya bidhaa muhimu kwa sababu binadamu tumeumbiwa tamaa. Ukitiachia nafasi tunakupiga saba bila.
2. To discourage unnecessary expenditure of USD. Serikali ya JPM ilikataza matumizi ya USD katika malipo ya humu humu nchini ilk USD itumike katika matumizi ya lazima kwa mfano uagizaji wa bidhaa muhimu kutoka nje ya nchi.
3. To encourage more exports by providing incentives to export destined products for example tax exception or tax reduction.
4. Kuzidi kutangaza utalii.
5. Kuimarisha mashirika ya ujasusi kwa teknolojia, training, incentives, staff and budgetary allocations.
 
Protectionism inaonekana wazo zuri on paper ila in reality ni kitu hakiwezekani. In today's world synergies za production na supply chains zipo so integrated kiasi cha kuwa huwezi fanya kila kitu mwenyewe. Kila nchi lazma ispecialise in something or mambo kadhaa ili kuwa competitive enough .
Huwezi tengeza sukari, candy , smartphones , precision equipment , petrochemicals etc na uuze mwenyewe nchini . Kwa simu tu kuna components kama 6000 , ukija chakula kuproduce hata vyakula vinne nchi nzima kwa wingi ni shida tupu utapata kuna hindrances kama soil unproductivity bcoz of monocropping later .
Bado hata sijafikia kuwa pale utazuia nchi zingine kukuuzia watakufungia masoko yao in retaliation. Hence the cycle pale ni zero sum game
Issue hapa ni simple sana , boost exports , shusha bei ya umeme , allocate pesa to innovation na punguza immense taxation .
Pale lazma manufacturing ishike kasi hata iweje . Ila nchi hii ushuru upo juu sana mbona nisiende malawi nifungue mtambo , kodi , stima ipo nafuu nkuletee hapa bongo nile faida kiulaini??
 
Tunahitaji dollars kwa ajili ya kufanyia nini? Naomba tuanze hapa kwanza bila jazba
Kununua bidhaa kutoka nje kama petroli, magari, spea, kulipia miradi inayofanywa na makampuni ya kimataifa ya nje, kuagiza dawa na vifaa vya tiba, kulipia wagonjwa wanaokwenda nje kwa matibabu, Kulipia tiketi za ndege kwa wasafiri na mizigo n.k
 
Nchi inafanya protectionism kwa bidhaa inazoweza kuzalisha. Kama hapa kwetu tunaweza fanya kwenye ngano na mafuta ya alizeti.
 
 
Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
 
Kununua bidhaa kutoka nje kama petroli, magari, spea, kulipia miradi inayofanywa na makampuni ya kimataifa ya nje, kuagiza dawa na vifaa vya tiba, kulipia wagonjwa wanaokwenda nje kwa matibabu, Kulipia tiketi za ndege kwa wasafiri na mizigo n.k
Kwenye national level, mimi nililenga swali langu kwenye individual level. Je mtanzania wa kawaida anataka dollars za nini?
 
Tunahitaji dollars kwa ajili ya kufanyia nini? Naomba tuanze hapa kwanza bila jazba

1. Kulipa madeni ya nje.
2. Kuagiza bidhaa ambazo hatunazo ama hazitutishelezi
3. Kusaidia kugharamia safari za nje za viongozi na wengineo.
4. Kusadia kudhibiti mfumuko wa bei.
 
Yaani mambo yako shaghalabaghala..
Kila kitu kimesambaratika..
Yaani ile "Things Fall Apart " ndo tunayoiona sasa!
Chagua CCM ndiyo mzizi wa hizi taabu zote...

Tusichague CCM bali tuchague viongozi makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…