Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Si Kwa kubadilishana na Ardhi yetu, na rasilimali zingineMjadala mkubwa ulipo mtaani sasa hivi ni kuhusu viongozi wetu kutamka kwenye majukwaa kwamba wanazunguka Duniani kutafuta pesa kwaajili yetu...
Hicho kila kitu kiko wapi?Omba urais utuoneshe.Hadi kuitwa ni nchi masikini,hohehahe ulidhani hawakupendi tu?Kafukue almasi,dhahabu,makaa ya mawe na tutakataka twingine utubadilishie tuwe matajiri kama USA.Nimetafakari iyo kauli siku nzima ya leo.kweli mtu unasema kbisa kwamba tunazunguka kutafuta pesa njee??mbona sisi tuna kila kitu??U.K pale hamna rasilimali yeyote...tuna mbuga,ardhi nzuri,madini,hali ya hewa nzuri....yaan mtu unashindwa kuelewa kwan hizi nchi za kiafrika zina shida gani jaman
Mwaga pwenti zako basiKama urais ni rahisi na kwamba kila mtu anauweza,omba na wewe uupate ili utuoneshe huo utajiri wa nchi uko wapi!Watu wakishavimbiwa matoke wanajiandikia hata ujingaujinga tu.