Nchi Ingekuwa Ni Mifumo Bora Ya Utawala Na Sheria, Viongozi wa CCM Ndio Walitakiwa Kukamatwa kwa Uhaini

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi.

Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi, Mwenyekiti wa CCM kwa kupitia Tume yake ya uchaguzi, akaufuta mchakato wa uchaguzi. Huu ni uhaini dhidi ya mamlaka ya wananchi.

Lowasa alipoonekana anaelekea kushinda, Mwenyekiti wa CCM kwa kutumia polisi wake aliwatuma kwenda kuvamia kituo cha ujumlishaji kura za Lowasa, wakawakanata vijana waLiokuwa wanajumlisha, wakabeba computer zao, na kuwaweka ndani. Yote hayo yakikenga kupora mamlaka ya wananchi ya kuwachagua viongozi wao ili waunde Serikali halali ya kuwaongoza.

Tukitaka kuwa wakweli, bila ya kupindisha maneno, CCM NA VIONGOZI WAO NDIYO WAHAINI, na huu ni uhaini dhidi ya mamlaka ya wananchi.

Tuukatae uhaini hata kama unafanywa na watawala. Anayepambana kuondoa uhaini hawezi kuwa mhaini, bali ni mzalendo wa kweli.

Lazima watu wote, vyama vyote, vyombo vyote vya umma na Serikali, viheshimu na kutii mamlaka ya umma.
 
Hii itatokea tu, muda tu, Kuna wale wanaoweza kuepuka kwa sababu ya Umri, ila akina Mchengerwa, UVCCM wengi sana maisha yao yatakuwa mabaya sana, adhabu hata ya kifo au vifungo vya maisha, wameumiza sana watu.
 
CCM ni genge la wahuni tunapaswa kuwapinga kwa nguvu zote.
 
Yaani kuanzia ule uchafuzi serikali za mitaa aisee.

Sasa mwaka huu Oct watashangaa
 
CCM ni genge la wahuni tunapaswa kuwapinga kwa nguvu zote.

Kwa kweli, kwa sasa CCM imekuwa siyo chama cha siasa, limekuwa genge la wahuni la kulipeleka Faifa shimoni.

Nawe mtanzania usitenufaika na chochote na CCM, kuendelea kuwa ndani ya CCM, ni kukubali kuwa mshirika wa vitendo vya kishetani dhidi ya Taifa letu.

Mtanzania yeyote mwente akili timamu na anayeipenda nchi hii, ni lazima ataunga mkono mabadiliko ya msingi ya kulinda haki na mamlaka ya umma yasiyompendelea au kumdhulumu yeyote.

Tuikatae CCM kwa sababu ni adui wa mabadiliko chanya.
 
Hii itatokea tu, muda tu, Kuna wale wanaoweza kuepuka kwa sababu ya Umri, ila akina Mchengerwa, UVCCM wengi sana maisha yao yatakuwa mabaya sana, adhabu hata ya kifo au vifungo vya maisha, wameumiza sana watu.
Inasikitisha sana, mtu kama Mchengerwa, mtu mwovu na shetani kabisa, aliyepora na kuharibu uchaguzi wa 2024, Rais Samia anamsifu kuwa eti ana kifua kipana, kifua kipana cha ushetani wa kudhulumu haki za watu. !!
 
Hii itatokea tu, muda tu, Kuna wale wanaoweza kuepuka kwa sababu ya Umri, ila akina Mchengerwa, UVCCM wengi sana maisha yao yatakuwa mabaya sana, adhabu hata ya kifo au vifungo vya maisha, wameumiza sana watu.
Unajua sheria hua ni mbaya sana, katika ujana wako waweza fanya ujinga na ukaleta maumivu kwa watu na uzee kwako ukashangaa kesi imefunguliwa juu zako ukajikuta unaoeza gerezani maisha yako yaliobaki.

Hawa viongozi wa sasa hawajui siku ya utawala wa sheria unaposhika hatamu watakuwa na kesi zakujibu
 
Rwanda ilianza hivyo hivyo mpaka yakatokea yale mauwaji ya kimbari. Mtu mpole siku akikinukisha ni hatari.
 
Mtu ambaye ni mvumilivu sana, akikata tamaa akafikia kusema liwalo na liwe (wahehe husema swela hela), anaweza kufanya mambo ya ajabu kuwazidi ambao huwa ni washari wakati wote.
 
Sema kuna muda hii nchi inafanya vtu vya kukera sana ni vile tu viongozi wetu nao wameshajua namna ya kucheza na akili zetu sio wasomi wala ambao hawajasoma wote tuko kundi moja la UCHAWA tutafseka sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom