dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,755
- 2,740
ICC haina mamlaka yakuingia kwenye nchi na kumkamata yeyote sembuse rais mpaka mamlaka ya nchi husika ikubali kumkamata mtuhumiwa kadiri ya mkataba wa Roma uliotiwa saini juni mosi 2005.
Unakumbuka Kenya ilihimizwa kumkamata Albashiri 2010 alipokua akihudhuria mkutano wa IGAD lakini Kenya haikumkamata na akarudi kwao bila usumbufu wowote.
Ili kumkamata nilazima nchi husika ikubali au atembelee nchi nyingine mwanachama wa ICC na hiyo nchi iridhie ombi la ICC kumkamata mtuhumiwa.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app