dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,755
- 2,740
Inategemea, inaweza kutokea nchi tu ikatuma special forces wake wakaja kukuteka na kukupeleka kushtakiwa Kama ilivyotokea kwa Manuel NoriegaUkijifungia ndani milele?
Naomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani.
Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda kizimbani?
Je, nini nafasi ya International Criminal Police Organisation (interpol )katika kusaidia hii mahakama kutekeleza majukumu yake?
Mwenye majibu atusaidie.
kubinywa "mbupu " tu mpaka mlio utoke.Naomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani.
Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda kizimbani?
Je, nini nafasi ya International Criminal Police Organisation (interpol )katika kusaidia hii mahakama kutekeleza majukumu yake?
Mwenye majibu atusaidie.
'You can hide but you ca'nt run"You can run but you can't hide
Exactly one of the best answer .Huwa wanasambaza arrest warrant kwa nchi zote duniani. Ukijiloga kutembelea moja wapo tu na wakakunawa unashangaa umekamatwa na unapakiwa kwenye ndege hadi Uholanzi
Nadhani utakumbuka pia kiburi cha Mkenya kiliishaje baada ya kuanza kuonyesha jeuri/ukaidi wa kujiona ni taifa huru, halipangiwi: mapigo ya Al Shabaab yakaanza non-stop, jamaa wanatoka Somalia hadi Nairobi na kwingineko wanapiga matukio wanaondoka, wakawa wanaua askari na wanajeshi kila kona. Juzi hapa wakajisahau tena wakataka kumrudisha Lema, Amnesty wakawaambia jaribuni muone, wakakumbuka yaliyowakuta ikabidi wampe hifadhi tu kishingo upande. Hapa chini ni kipande tu cha matamko ya Amnesty:ICC haina mamlaka yakuingia kwenye nchi na kumkamata yeyote sembuse rais mpaka mamlaka ya nchi husika ikubali kumkamata mtuhumiwa kadiri ya mkataba wa Roma uliotiwa saini juni mosi 2005.
Unakumbuka Kenya ilihimizwa kumkamata Albashiri 2010 alipokua akihudhuria mkutano wa IGAD lakini Kenya haikumkamata na akarudi kwao bila usumbufu wowote.
Ili kumkamata nilazima nchi husika ikubali au atembelee nchi nyingine mwanachama wa ICC na hiyo nchi iridhie ombi la ICC kumkamata mtuhumiwa.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Vijana hawajui what happened to General Antonio Manuel Noriega na mabeberu wanatakiwa wafanye hivyohivyo kwa Mhutu Jiwe .Inategemea, inaweza kutokea nchi tu ikatuma special forces wake wakaja kukuteka na kukupeleka kushtakiwa Kama ilivyotokea kwa Manuel Noriega
Hawajui vijana wa Lumumba hawa!! Wao kazi yao kuwaza uteuzi ili matumbo yao yashibe tuVijana hawajui what happened to General Antonio Manuel Noriega na mabeberu wanatakiwa wafanye hivyohivyo kwa Mhutu Jiwe .
Vijana hawajui what happened to General Antonio Manuel Noriega na mabeberu wanatakiwa wafanye hivyohivyo kwa Mhutu Jiwe .
Hakuna hatua yoyote wanaweza kuchukua kwa sababu hii Mahakama ni Joka la Kibisa. Zaidi ya kutoa Arrest Warrant na kusubiria huruma ya Nchi Wanachama kutekeleza Jambo Hilo pale mhusika anapokanyaga katika Nchi hiyo.Naomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani.
Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda kizimbani?
Je, nini nafasi ya International Criminal Police Organisation (interpol )katika kusaidia hii mahakama kutekeleza majukumu yake?
Mwenye majibu atusaidie.
Nothing lasts longerDreaming work
Al Shabaab ni idara ya ICC kumbe....JF kuna vichwa mjue! Hahahaha!Nadhani utakumbuka pia kiburi cha Mkenya kiliishaje baada ya kuanza kuonyesha jeuri/ukaidi wa kujiona ni taifa huru, halipangiwi: mapigo ya Al Shabaab yakaanza non-stop, jamaa wanatoka Somalia hadi Nairobi na kwingineko wanapiga matukio wanaondoka, wakawa wanaua askari na wanajeshi kila kona. Juzi hapa wakajisahau tena wakataka kumrudisha Lema, Amnesty wakawaambia jaribuni muone, wakakumbuka yaliyowakuta ikabidi wampe hifadhi tu kishingo upande. Hapa chini ni kipande tu cha matamko ya Amnesty:
"...He revealed that the protection clause envisages that such people ought to be granted unconditional protection whether their entry into the host country is illegal or legal. And, any attempt to return Mr Lema and his family members to Tanzania will only amount to human rights violation in itself.
“Transferring Godbless Lema back to Tanzania, a country where he risks facing serious human rights violations, would itself amount to human rights violations. The government of Kenya is obligated to protect and provide sanctuary to Lema and his family,” he said in the statement..."
Soma vizuri ndugu uelewe nilichoandikaAl Shabaab ni idara ya ICC kumbe....JF kuna vichwa mjue! Hahahaha!
Hakuna kitu ICC itafanya. Hata Dictator Bashir aliruhusiwa kutoka South Africa na Viongozi baada ya Mahakama kujidai inataka akamatwe.
Viongozi karibia wote wa Africa hawaikubali wala kuiheshimu ICC maana wanajua na wao ni candidates in waiting. Hata USA wenyewe hawaiheshimu ICC
Maguguli wala ICC haitoweza kumfanya kitu
ICC hawana mchango wowote kwa kilichomtokea Bashir huko SudanSaa hizi huyo Omar Al Bashir yuko wapi eti?